Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
WANAUME WENGI MSHUKURU MFUMO UMEWABEBA. WANAWAKE WANGEWATESA SANA KWA SABABU WANAWAKE WENGI WANAAKILI NA WANAJITAMBUA KULIKO WANAUME WENGI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Zamani nilikuwa nakataa kwamba wanawake wanaakili kuliko wanaume. Kwa sababu sisi Watibeli Wanaume hatuwezi zidiwa akili na wanawake.
2. Lakini Siku moja nilikuwa nimeketi na Mwanamama mmoja, kwenye moja ya Hotel pale Stone town, Zanzibar. Katika kupiga piga stori ndipo Yule mwanamama akaniambia kwamba kwa nini wanawake wanaakili kuliko wanaume.
3. Ingawaje anakiri kuwa wapo wanaume wachache Sana ambao watibeli wakiwemo ndio wanawazidi wanawake akili. Na akasisitiza kuwa Wao wapo tayari kuwa submitted kwa wanaume wenye Akili kama Watibeli. Lakini kamwe hawatajisalimisha mbele za Wanaume wanaoona kabisa wamewazidi Akili.
4. Fikiria mwanamke Hana kipato, fikiria mifumo inambana. Lakini bado kuna wanaume wanateseka, wanateswa, wanaendeshwa kama magari mabovu, embu fikiria. Vipi hao wanawake wakiwa na Uhuru wa kipato na mifumo imewapa nafasi.
5. Jambo moja la uhakika ni kuwa. Mwanamke akikuonea hakuonei kwa kukuonea. Anakuonea kwa sababu unastahili. Anakuonea na kukudhalilisha Kwa sababu ya ujinga wako. Kutojiamini kwako.
6. Fikiria unamtumia pesa au nauli mwanamke. Humjui, umekutana naye tuu kwenye daladalaππ. Umeomba namba Mitandaoni huko. Unatuma nauli.
Demu hatokei.
Na ulivyo lijinga eti unamlalamikia sio mwaminifu. ππ Unakuwaje mwaminifu kwa MTU mpumbavu? Maana hata MTU mjinga hawezi kufanya hivyo.
7. Fikiria unamsomesha mwanamke ambaye hata humjui. Unandugu kibao wanahitaji Msaada wako, hujamhudumia mamaako na babaako, unasomesha,
Demu anamaliza shule anakutoa lock ili uwe na akili. Hakutaki.
Unalia
Unataka kuua watu. Mpuuzi wewe. Umuue nani?
Unafanya mambo ambayo mwanamke hawezi kuyafanya. Anakuona hamnazo. Huna standards, huna akili. Unaendeshwa na mihemko.
8. Wanawake wakiwa na pesa hawawezi kutoka na mwanaume wa hovyohovyo. Weka Akilini hiyo.
Utasema oooh! Hizo ni dharau sijui blah blah lakini hakuna atakayejali maneno yako.
Hakuna mwanamke anayependa kutoka na mwanaume Mzee au mwenye rika la Babake. Huyo mwanamke hayupo. Shida na umaskini ndio huwapelekea hivyo.
Ndio maana mwanamke akizaa mtoto wakiume, mtoto wakiume akiwa anamaisha mazuri alafu ampeleke nyumbani mchumba mkubwa au single mother ninakuambia wamama wengi watapinga Hilo na watachukizwa na hilo. Kwa sababu wanawake ni watu wenye standards.
9. Wanawake hawahitaji heshima kama haiwanufaishi kimaslahi.
10. Wanaume wengi wanashindwa kuelewa saikolojia ya wanawake.
Wanawake wanawahitaji wanaume Sana kwenye maisha yao. Lakini wanaume wenye sifa zilizokamilika. Wanawake hawapendi mapungufu hasa ya kijingajinga.
Kiufupi wanawake ni viumbe aggressive, havitaki mchezo, masikhara, na utaniutani usio na mbele wala nyuma.
Ndio maana hata watoto wadogo ni ngumu kucheza na Mama zao.
11. Saikolojia ya kutopenda mzaha, inawafanya pia kuvutiwa na wanaume wasiopenda mzahamzaha, kuchekacheka hovyo, kuongeaongea maneno yasiyo na mbele wala nyuma.
Ila hapohapo wanapenda mwanaume mcheshi ila sio Kituko, mropokaji na mtaka sifa.
12. Wanawake ni wabinafsi Sana lakini sio kwa watu wanaowapenda.
Hivyohivyo, wanawake wanapenda Wanaume wabinafsi Sana ila ubinafsi huo sio kwa watu wanaowapenda.
13. Kumhonga mwanamke hakukufanyi akupende. Anakuona hamnazo. Atazitumia. Alafu atakuwa na mwanaume mwingine mwenye sifa ya kutokutoa pesa hovyohovyo.
14. Mwanamke mpaka amekupa pesa, jipige kifua sema wewe ni Mwanaume unayependwa.
Halikadhalika wanawake hupenda wakiwa na wanaume bahili. Asikie mumewe ni bahili lakini kwake anamhudumia vizuri. Hapo mwanamke anasema kweli yeye ni spesho kwako.
15. Ukiona mwanamke anakuhisi unatoa pesa nje ujue amekudharau. Amekuona hamnazo.
Amekuona hujitambui. Hujithamini. Huna akili.
Na huenda atalinganisha wakati mnaanza mahusiano yenu.
16. Mwanamke anapenda watu wakulalamikie umbahili lakini majukumu nyumbani kwake yanaenda. Chakula Mnakula vizuri, mnavaa vizuri, mnaishi.
17. Ukiona mwanamke hatoi Pesa ndani ya nyumba ujue hapo hakuna kitu. Kwa sababu upendo na kutoa ni Meno na ulimi.
Hata umzuie vipi. MTU anayekupenda lazima ajitoe na atoe kwaajili yako.
18. Mwanamke kama anajua unatabia za kuhonga nje au unarekodi hiyo. Kwake itakuwa ngumu kutoa pesa humo ndani ya nyumba.
19. Wanaume wengi wanawalalamikia wanawake kwa sababu wanashindwa kuelewa wanawake wanataka nini. Wanashindwa kuelewa woman language.
Wakati huo wanawake wanajua kusoma kwa haraka patterns za sisi wanaume.
Kufikia hapo sina la ziada
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam