Wanaume wengi mshukuru mfumo umewabeba. Wanawake wangewatesa Sana kwa sababu wanawake wengi wanaakili na wanajitambua kuliko wanaume wengi

Wanaume wengi mshukuru mfumo umewabeba. Wanawake wangewatesa Sana kwa sababu wanawake wengi wanaakili na wanajitambua kuliko wanaume wengi

Wanawake ni multipurpose, detail oriented na wanawahi kupata maturity kuliko wanaume hiyo ni obvious fact.

Ila haijalishi nani ana akili ama hana maana hicho ni kitu natural ila tofauti kubwa ni moja

Mwanamke anatumia hisia zaidi kwenye maamuzi yake na kawaida ya hisia huchagua comfort kuliko kitu kilicho sahihi.

Wanaume tunatumia akili zaidi na kawaida ya akili haijalishi unajisikiaje ila ni kitu gani sahihi cha kufanya. Wanaume wengi wanaangalia matokeo yani kipi nifanye ili nifanikishe na haijalishi ni kigumu kiasi gani

Ukweli mkubwa kwenye thread yako ni kuwa, structure ya jamii nyingi. Ilimuweka mama kama mlezi na baba kama bread winner hivyo, mwanamke hakuishi kwenye potential zake kama binadamu na akawa tegemezi kwa mwanaume kama ndio muamuzi wa future yake. Ndio maana ndoa ilikuwa kama jackpot kwa hiyo mwanaume YOYOTE yule aliweza kuoa Mwanamke YOYOTE pasipo kujali upishano katika uwezo wao wa akili au utafutaji

Baada ya wanawake kuanza kujitafuta na kujipata, ina maanisha ile dependency inaisha kwa hiyo hawa independent ladies hutaka uwezo wa mwanaume halisi na si kumingo na yoyote yule. Ndio hapa point ya "wanawake wenye pesa wanabagua au wana viburi" Ila uhalisia ni kuwa

Hawatokuheshimu kwa sababu wewe ni mwanaume kama enzi za mababu zetu ila kwa sasa wanahitaji sababu ya kuwa submissive kwako.

Japo hapa kuna exception moja. Mwanamke kama kiumbe anaetumia hisia zaidi. Akipenda huwa hajali vitu hivi vingine but kama wewe ndio unamfuata bhasi lazma akupime katika mizani yake

Ndio maana nasema, dunia ya sasa inamuinua mwanamke na kuwa more masculine kwa minajili ya "kutafuta na kuwa bread winner" huku mtoto wa kiume akisahaulika and sometimes analelewa kuwa laini na kuzijali hisia zake hivyo kuwa "more feminine".

Kwa hiyo kuna embalance kwenye jamii yetu na itazidi kuleta matatizo mengi zaidi na zaidi kama hali itaendelea kuwa mbaya. Na product yake mbaya zaidi ni umuhimu wa ndoa kuzidi kupungua

Hapa umeandika kitaalamu na kama mtu mzima.

Hujataka kuweka mihemko na zile vurugu za ujana😄😄.

Tukirudi kwenye hoja hasa uliyoiongezea kuhusu Dunia ya sasa imejikita kumkomboa Mwanamke (kumfanya ajitegemee), kuwa naye nguzo ya utafutaji, uzalishaji na umiliki(masculinity).

Huku kijana WA kiume akisahaulika na hiyo kuwafanya vijana sasa waanze kupatwa fikra za utegemezi Na Ile hali ya u-feminine.
Ni Kweli.

Jambo Hilo limeathiri Mahusiano sio tuu Afrika hata nchi za dunia ya Kwanza kama Amerika na Ulaya.

Vijana hawana standards wamegeuka kizoleataka. Huku wanawake wenye kujitegemea, waliokwenye prime yao wakibaki kwenye standards zao kwamba wanahitaji mtu mwenye vigezo walivyojiwekea.

Mfano suala la single Mothers,
Ni ukweli kuwa 90% ya single mothers kama ungemkuta wakati akiwa kwenye prime yake asingekukubalia umwoe.
Au aolewe na mwanaume yeyote.
Lakini kwa vile Hana jinsi basi itabidi akukubalie umuoe.

Na hakunaga heshima ya sina jinsi. Sina option. Hakuna heshima ya hivyo.
Heshima ya kweli ni Ile mtu yupo kwenye prime yake, au nafasi Fulani ya kimaisha labda cheo, uchumi na bado anakupa heshima.
 
Wewe unafikiri kipi unamzidi Akili?

Unafikiri mkeo angekuwa mwanaume au angekuwa na uwezo wa kiuchumi angekuwa na wewe?

Unafikiri kwa nini unasikia wanawake wabinafsi na wanadharau?
kwa hivyo unataka na sisi tukabadilishe jinsia au, Ok samia ana akili gani Au sio mwanamke, Kuwa mbinafsi ndio kuwa na akili, au kuwa na dharau ndo kuwa na akili ndugu yangu ujue ckuelewi. Acha kulinganisha hao viumbe na mwanaume. Nataka nikupe mtihani kidogo tu. I want you to prank your family kama kuna watoto wa kike na wakike awe mkubwa kuzid wa kiume afu ujiangushe uone nani atafanya jambo ambalo litakufurahisha. Na hapo utapata jibu la unacholinganisha hao viumbe na wanaume.
 
WANAUME WENGI MSHUKURU MFUMO UMEWABEBA. WANAWAKE WANGEWATESA SANA KWA SABABU WANAWAKE WENGI WANAAKILI NA WANAJITAMBUA KULIKO WANAUME WENGI.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

1. Zamani nilikuwa nakataa kwamba wanawake wanaakili kuliko wanaume. Kwa sababu sisi Watibeli Wanaume hatuwezi zidiwa akili na wanawake.

2. Lakini Siku moja nilikuwa nimeketi na Mwanamama mmoja, kwenye moja ya Hotel pale Stone town, Zanzibar. Katika kupiga piga stori ndipo Yule mwanamama akaniambia kwamba kwa nini wanawake wanaakili kuliko wanaume.

3. Ingawaje anakiri kuwa wapo wanaume wachache Sana ambao watibeli wakiwemo ndio wanawazidi wanawake akili. Na akasisitiza kuwa Wao wapo tayari kuwa submitted kwa wanaume wenye Akili kama Watibeli. Lakini kamwe hawatajisalimisha mbele za Wanaume wanaoona kabisa wamewazidi Akili.

4. Fikiria mwanamke Hana kipato, fikiria mifumo inambana. Lakini bado kuna wanaume wanateseka, wanateswa, wanaendeshwa kama magari mabovu, embu fikiria. Vipi hao wanawake wakiwa na Uhuru wa kipato na mifumo imewapa nafasi.

5. Jambo moja la uhakika ni kuwa. Mwanamke akikuonea hakuonei kwa kukuonea. Anakuonea kwa sababu unastahili. Anakuonea na kukudhalilisha Kwa sababu ya ujinga wako. Kutojiamini kwako.

6. Fikiria unamtumia pesa au nauli mwanamke. Humjui, umekutana naye tuu kwenye daladala😂😀. Umeomba namba Mitandaoni huko. Unatuma nauli.
Demu hatokei.
Na ulivyo lijinga eti unamlalamikia sio mwaminifu. 😂😂 Unakuwaje mwaminifu kwa MTU mpumbavu? Maana hata MTU mjinga hawezi kufanya hivyo.

7. Fikiria unamsomesha mwanamke ambaye hata humjui. Unandugu kibao wanahitaji Msaada wako, hujamhudumia mamaako na babaako, unasomesha,
Demu anamaliza shule anakutoa lock ili uwe na akili. Hakutaki.
Unalia
Unataka kuua watu. Mpuuzi wewe. Umuue nani?

Unafanya mambo ambayo mwanamke hawezi kuyafanya. Anakuona hamnazo. Huna standards, huna akili. Unaendeshwa na mihemko.

8. Wanawake wakiwa na pesa hawawezi kutoka na mwanaume wa hovyohovyo. Weka Akilini hiyo.
Utasema oooh! Hizo ni dharau sijui blah blah lakini hakuna atakayejali maneno yako.

Hakuna mwanamke anayependa kutoka na mwanaume Mzee au mwenye rika la Babake. Huyo mwanamke hayupo. Shida na umaskini ndio huwapelekea hivyo.

Ndio maana mwanamke akizaa mtoto wakiume, mtoto wakiume akiwa anamaisha mazuri alafu ampeleke nyumbani mchumba mkubwa au single mother ninakuambia wamama wengi watapinga Hilo na watachukizwa na hilo. Kwa sababu wanawake ni watu wenye standards.

9. Wanawake hawahitaji heshima kama haiwanufaishi kimaslahi.

10. Wanaume wengi wanashindwa kuelewa saikolojia ya wanawake.
Wanawake wanawahitaji wanaume Sana kwenye maisha yao. Lakini wanaume wenye sifa zilizokamilika. Wanawake hawapendi mapungufu hasa ya kijingajinga.

Kiufupi wanawake ni viumbe aggressive, havitaki mchezo, masikhara, na utaniutani usio na mbele wala nyuma.
Ndio maana hata watoto wadogo ni ngumu kucheza na Mama zao.

11. Saikolojia ya kutopenda mzaha, inawafanya pia kuvutiwa na wanaume wasiopenda mzahamzaha, kuchekacheka hovyo, kuongeaongea maneno yasiyo na mbele wala nyuma.

Ila hapohapo wanapenda mwanaume mcheshi ila sio Kituko, mropokaji na mtaka sifa.

12. Wanawake ni wabinafsi Sana lakini sio kwa watu wanaowapenda.
Hivyohivyo, wanawake wanapenda Wanaume wabinafsi Sana ila ubinafsi huo sio kwa watu wanaowapenda.

13. Kumhonga mwanamke hakukufanyi akupende. Anakuona hamnazo. Atazitumia. Alafu atakuwa na mwanaume mwingine mwenye sifa ya kutokutoa pesa hovyohovyo.

14. Mwanamke mpaka amekupa pesa, jipige kifua sema wewe ni Mwanaume unayependwa.
Halikadhalika wanawake hupenda wakiwa na wanaume bahili. Asikie mumewe ni bahili lakini kwake anamhudumia vizuri. Hapo mwanamke anasema kweli yeye ni spesho kwako.

15. Ukiona mwanamke anakuhisi unatoa pesa nje ujue amekudharau. Amekuona hamnazo.
Amekuona hujitambui. Hujithamini. Huna akili.
Na huenda atalinganisha wakati mnaanza mahusiano yenu.

16. Mwanamke anapenda watu wakulalamikie umbahili lakini majukumu nyumbani kwake yanaenda. Chakula Mnakula vizuri, mnavaa vizuri, mnaishi.

17. Ukiona mwanamke hatoi Pesa ndani ya nyumba ujue hapo hakuna kitu. Kwa sababu upendo na kutoa ni Meno na ulimi.
Hata umzuie vipi. MTU anayekupenda lazima ajitoe na atoe kwaajili yako.

18. Mwanamke kama anajua unatabia za kuhonga nje au unarekodi hiyo. Kwake itakuwa ngumu kutoa pesa humo ndani ya nyumba.

19. Wanaume wengi wanawalalamikia wanawake kwa sababu wanashindwa kuelewa wanawake wanataka nini. Wanashindwa kuelewa woman language.
Wakati huo wanawake wanajua kusoma kwa haraka patterns za sisi wanaume.

Kufikia hapo sina la ziada

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Hususani kwenye masuala ya finance analysis, wanawake wako vizuri.
IMG_20260524_075106_787.jpg
 
Mkuu weka namba ili mishangazi ikutumie chochote kitu uokote, manaake leo umewatetea sana wanawake.

Mishangazi hainaga shida na mimi Mkuu.

Labda vitoto vya kike vilivyokosa malezi ya Wakubwa. Hasa Baba au wajomba ndio hujikuta wakinikasirikia.
 
kwa hivyo unataka na sisi tukabadilishe jinsia au, Ok samia ana akili gani Au sio mwanamke, Kuwa mbinafsi ndio kuwa na akili, au kuwa na dharau ndo kuwa na akili ndugu yangu ujue ckuelewi. Acha kulinganisha hao viumbe na mwanaume. Nataka nikupe mtihani kidogo tu. I want you to prank your family kama kuna watoto wa kike na wakike awe mkubwa kuzid wa kiume afu ujiangushe uone nani atafanya jambo ambalo litakufurahisha. Na hapo utapata jibu la unacholinganisha hao viumbe na wanaume.

Wewe uliwahi kumwona MTU au kiumbe chenye dharau kikakosa Akili?
Dharau inahitaji evaluation Kwanza. Yaani mpaka mtu akudharau au akubague kazima afanye tathmini na anastandard zake.

Swali ni Kwa nini udharauliwe? Au ubaguliwe?

Samia tena😂😆 usipaniki kaka. Huu ni mjadala.
Samia anaweza asiwe na akili za kuongoza nchi lakini amini amini usishangae wewe na ukoo wako msimfikie kwa ishu ya akili.

Bahati mbaya sina mtoto wakike. Nilionao wote ni wakiume.

Watoto wakike wanaakili kuliko wanaume wengi.
Changamoto yao ni emotional ambayo nayo sio kwamba inawaendesha muda wote
 
Hususani kwenye masuala ya finance analysis, wanawake wako vizuri.View attachment 3594091

Wanawake wasipoendeshwa na mihemko hasa wale wakubwa wapo vizuri Sana kiakili kuliko wanaume wengi.

Tatizo la wanawake kama ukiwa hamnazo hawasemi ila wakikaa wenyewe wanaambiana pale hakuna kitu.
Na ukiwa zimo hawasemi lakini wakikaa wenyewe wanaambiana kwamba pale zinachaji
 
Hapa umeandika kitaalamu na kama mtu mzima.

Hujataka kuweka mihemko na zile vurugu za ujana😄😄.

Tukirudi kwenye hoja hasa uliyoiongezea kuhusu Dunia ya sasa imejikita kumkomboa Mwanamke (kumfanya ajitegemee), kuwa naye nguzo ya utafutaji, uzalishaji na umiliki(masculinity).

Huku kijana WA kiume akisahaulika na hiyo kuwafanya vijana sasa waanze kupatwa fikra za utegemezi Na Ile hali ya u-feminine.
Ni Kweli.

Jambo Hilo limeathiri Mahusiano sio tuu Afrika hata nchi za dunia ya Kwanza kama Amerika na Ulaya.

Vijana hawana standards wamegeuka kizoleataka. Huku wanawake wenye kujitegemea, waliokwenye prime yao wakibaki kwenye standards zao kwamba wanahitaji mtu mwenye vigezo walivyojiwekea.

Mfano suala la single Mothers,
Ni ukweli kuwa 90% ya single mothers kama ungemkuta wakati akiwa kwenye prime yake asingekukubalia umwoe.
Au aolewe na mwanaume yeyote.
Lakini kwa vile Hana jinsi basi itabidi akukubalie umuoe.

Na hakunaga heshima ya sina jinsi. Sina option. Hakuna heshima ya hivyo.
Heshima ya kweli ni Ile mtu yupo kwenye prime yake, au nafasi Fulani ya kimaisha labda cheo, uchumi na bado anakupa heshima.
Na hali itazidi kuwa mbaya kama wanawake wengi zaidi watazipuuza hizi stereotypes

Mwanamke mwenye wanaume wengi ndio malaya, mwanaume hawezi kuwa malaya

Mwanamke mwenye mtoto hawezi kuolewa, wakiona ndoa si lazma bhasi hii imeisha

Mwanamke asiyeolewa ni fedheha, wakiliweza hili ile power ya mwanaume katika ndoa itapungua kwa sababu nao hawataiona ni bahati ila ni option

Ukweli mwingine mchungu, mwanamke mwenye kipato na ana vigezo vingine. Ni rahisi kupata mwanaume wa ndoto zake kwa sababu anaonekana na wengi na anakuwa na options nyingi. Japo wengi hawalisemi ila kuna wanaume pia ambao hawakupata wake wa ndoto zao kwa sababu hao wanawake walichagua kuolewa na wanaume wengine

Kwa hiyo ukiongezea na hili ongezeko la wanaume ambao hawataki kuoa wanawake tegemezi au waliotokea katika koo maskini kupitiliza. Na hapo bado hujaongelea ongezeko la wanaume wa mjini wanaowinda wanawake wa kuwalea

Ni dhahiri independent ladies wataendelea kuwa ni hot cake hasa kwa vyuma vinavyoendelea kukaza.

Kwa hiyo mzani unaegemea kwa wanawake na kama wanaume wengi hawatolelewa kudeal na hawa wanawake wanaojiweza na kuwezeshwa. Hali itazidi kuwa mbaya zaidi
 
mwanaume anayezidiwa akili na mwanamke, kachagua tu ila tumewapita mbali sana kwenye almost everything.
Bahati mbaya, wanaume wengi siku hizi wamechagua role reverse, wanataka wawe kama wanawake na wanawake wawe wanaume, hapo ndio hio perspective yako inajengwa.
 
kwa hivyo unataka na sisi tukabadilishe jinsia au, Ok samia ana akili gani Au sio mwanamke, Kuwa mbinafsi ndio kuwa na akili, au kuwa na dharau ndo kuwa na akili ndugu yangu ujue ckuelewi. Acha kulinganisha hao viumbe na mwanaume. Nataka nikupe mtihani kidogo tu. I want you to prank your family kama kuna watoto wa kike na wakike awe mkubwa kuzid wa kiume afu ujiangushe uone nani atafanya jambo ambalo litakufurahisha. Na hapo utapata jibu la unacholinganisha hao viumbe na wanaume.
Aah! Kudaadeki!
Oya Mopak hapa unanifanya nianze kukuheshimu milele.
Umeandika vyema sana.
 
Na hali itazidi kuwa mbaya kama wanawake wengi zaidi watazipuuza hizi stereotypes

Mwanamke mwenye wanaume wengi ndio malaya, mwanaume hawezi kuwa malaya

Mwanamke mwenye mtoto hawezi kuolewa, wakiona ndoa si lazma bhasi hii imeisha

Mwanamke asiyeolewa ni fedheha, wakiliweza hili ile power ya mwanaume katika ndoa itapungua kwa sababu nao hawataiona ni bahati ila ni option

Ukweli mwingine mchungu, mwanamke mwenye kipato na ana vigezo vingine. Ni rahisi kupata mwanaume wa ndoto zake kwa sababu anaonekana na wengi na anakuwa na options nyingi. Japo wengi hawalisemi ila kuna wanaume pia ambao hawakupata wake wa ndoto zao kwa sababu hao wanawake walichagua kuolewa na wanaume wengine

Kwa hiyo ukiongezea na hili ongezeko la wanaume ambao hawataki kuoa wanawake tegemezi au waliotokea katika koo maskini kupitiliza. Na hapo bado hujaongelea ongezeko la wanaume wa mjini wanaowinda wanawake wa kuwalea

Ni dhahiri independent ladies wataendelea kuwa ni hot cake hasa kwa vyuma vinavyoendelea kukaza.

Kwa hiyo mzani unaegemea kwa wanawake na kama wanaume wengi hawatolelewa kudeal na hawa wanawake wanaojiweza na kuwezeshwa. Hali itazidi kuwa mbaya zaidi

Ni kweli Kabisa.
Na zile kasumba mbaya za uungu wa mwanaume zinachangia kwa sehemu kubwa kuleta migogoro ndani ya mahusiano.
 
Ni kweli Kabisa.
Na zile kasumba mbaya za uungu wa mwanaume zinachangia kwa sehemu kubwa kuleta migogoro ndani ya mahusiano.
Kuna wanaume wengi wanaotamani kuwa na wanawake wenye kariba ya mama zao ila wao hawataki kuyaishi majukumu ya baba zao. Na kuna wanawake ambao wanatamani kupata wanaume wenye kariba za baba ila hawataki kuyaishi majukunu ya mama zao 😁😁😁

Ngoja tuishie hapa ila ndio ukweli halisi. Tupo kwenye mkanganyiko
 
Wewe uliwahi kumwona MTU au kiumbe chenye dharau kikakosa Akili?
Dharau inahitaji evaluation Kwanza. Yaani mpaka mtu akudharau au akubague kazima afanye tathmini na anastandard zake.

Swali ni Kwa nini udharauliwe? Au ubaguliwe?

Samia tena
 
Kuna wanaume wengi wanaotamani kuwa na wanawake wenye kariba ya mama zao ila wao hawataki kuyaishi majukumu ya baba zao. Na kuna wanawake ambao wanatamani kupata wanaume wenye kariba za baba ila hawataki kuyaishi majukunu ya mama zao 😁😁😁

Ngoja tuishie hapa ila ndio ukweli halisi. Tupo kwenye mkanganyiko
Hali ni tete
 
Aah! Kudaadeki!
Oya Mopak hapa unanifanya nianze kukuheshimu milele.
Umeandika vyema sana.
asante kwa hilo. Huyu kachagua maisha yake kazidiwa akili na mwanamke sasa anataka kutupandikizia vichwan tumuamini. Nafiki hata wewe ulishakutana ajali imetokea sehem., ebu niambie ni nani kwa mda ule wanawajibika kwa haraka kama sio wanaume wanawake wanakua mbali wameshika vifua na kuziba macho ni kama wameumia kuliko hata majeruhi. Unless ukute mwanamke aliye na chembechembe za kiume ndio anawajibika au hata msiban ulishakuta mwanamke anachimba kaburi. Huyu mtu angelisema kuwa mwanamke akiwezeshwa anaweza hapo ningemuelewa kidogo. Kuta mwanamke gari limepata pancha ndo utacheka hadi ufe yaan anakuwa ni kama amegongwa na gari lakin mwanamme chap kidogo kabadilisha tairi safar inaendelea.
 
Wanawake ni wajanja mpaka inapofika muda wa kuolewa.

Wanaume ni wajinga mpaka inapofika muda wa kuoa

Kila mtu ashinde mechi zake.
 
Mfumo uliopo unawabeba wanaume lakini umewapa nafasi moja tuu kuwa viongozi lakini ukifuatilia kwa undani ni kuwa Watumishi, kuwatumikia Wanawake.

Ndio maana huu mfumo wa 50*50 wanawake wataanza kuupinga Sana kwani unawakomboa wanaume kutoka kuwa misukule ya wanawake.
Kwamba tumepewa nafasi ya kuongoza mfumo huohuo unaowafanya wanaume wawe misukule ya wanawake au....😆😆😆😆Kwamba tunajikandamiza wenyewe.
 
Back
Top Bottom