Wanaume wengi mshukuru mfumo umewabeba. Wanawake wangewatesa Sana kwa sababu wanawake wengi wanaakili na wanajitambua kuliko wanaume wengi


Hapa umeandika kitaalamu na kama mtu mzima.

Hujataka kuweka mihemko na zile vurugu za ujanaπŸ˜„πŸ˜„.

Tukirudi kwenye hoja hasa uliyoiongezea kuhusu Dunia ya sasa imejikita kumkomboa Mwanamke (kumfanya ajitegemee), kuwa naye nguzo ya utafutaji, uzalishaji na umiliki(masculinity).

Huku kijana WA kiume akisahaulika na hiyo kuwafanya vijana sasa waanze kupatwa fikra za utegemezi Na Ile hali ya u-feminine.
Ni Kweli.

Jambo Hilo limeathiri Mahusiano sio tuu Afrika hata nchi za dunia ya Kwanza kama Amerika na Ulaya.

Vijana hawana standards wamegeuka kizoleataka. Huku wanawake wenye kujitegemea, waliokwenye prime yao wakibaki kwenye standards zao kwamba wanahitaji mtu mwenye vigezo walivyojiwekea.

Mfano suala la single Mothers,
Ni ukweli kuwa 90% ya single mothers kama ungemkuta wakati akiwa kwenye prime yake asingekukubalia umwoe.
Au aolewe na mwanaume yeyote.
Lakini kwa vile Hana jinsi basi itabidi akukubalie umuoe.

Na hakunaga heshima ya sina jinsi. Sina option. Hakuna heshima ya hivyo.
Heshima ya kweli ni Ile mtu yupo kwenye prime yake, au nafasi Fulani ya kimaisha labda cheo, uchumi na bado anakupa heshima.
 
Wewe unafikiri kipi unamzidi Akili?

Unafikiri mkeo angekuwa mwanaume au angekuwa na uwezo wa kiuchumi angekuwa na wewe?

Unafikiri kwa nini unasikia wanawake wabinafsi na wanadharau?
kwa hivyo unataka na sisi tukabadilishe jinsia au, Ok samia ana akili gani Au sio mwanamke, Kuwa mbinafsi ndio kuwa na akili, au kuwa na dharau ndo kuwa na akili ndugu yangu ujue ckuelewi. Acha kulinganisha hao viumbe na mwanaume. Nataka nikupe mtihani kidogo tu. I want you to prank your family kama kuna watoto wa kike na wakike awe mkubwa kuzid wa kiume afu ujiangushe uone nani atafanya jambo ambalo litakufurahisha. Na hapo utapata jibu la unacholinganisha hao viumbe na wanaume.
 
Hususani kwenye masuala ya finance analysis, wanawake wako vizuri.
 
Mkuu weka namba ili mishangazi ikutumie chochote kitu uokote, manaake leo umewatetea sana wanawake.

Mishangazi hainaga shida na mimi Mkuu.

Labda vitoto vya kike vilivyokosa malezi ya Wakubwa. Hasa Baba au wajomba ndio hujikuta wakinikasirikia.
 

Wewe uliwahi kumwona MTU au kiumbe chenye dharau kikakosa Akili?
Dharau inahitaji evaluation Kwanza. Yaani mpaka mtu akudharau au akubague kazima afanye tathmini na anastandard zake.

Swali ni Kwa nini udharauliwe? Au ubaguliwe?

Samia tenaπŸ˜‚πŸ˜† usipaniki kaka. Huu ni mjadala.
Samia anaweza asiwe na akili za kuongoza nchi lakini amini amini usishangae wewe na ukoo wako msimfikie kwa ishu ya akili.

Bahati mbaya sina mtoto wakike. Nilionao wote ni wakiume.

Watoto wakike wanaakili kuliko wanaume wengi.
Changamoto yao ni emotional ambayo nayo sio kwamba inawaendesha muda wote
 
Hususani kwenye masuala ya finance analysis, wanawake wako vizuri.View attachment 3594091

Wanawake wasipoendeshwa na mihemko hasa wale wakubwa wapo vizuri Sana kiakili kuliko wanaume wengi.

Tatizo la wanawake kama ukiwa hamnazo hawasemi ila wakikaa wenyewe wanaambiana pale hakuna kitu.
Na ukiwa zimo hawasemi lakini wakikaa wenyewe wanaambiana kwamba pale zinachaji
 
Na hali itazidi kuwa mbaya kama wanawake wengi zaidi watazipuuza hizi stereotypes

Mwanamke mwenye wanaume wengi ndio malaya, mwanaume hawezi kuwa malaya

Mwanamke mwenye mtoto hawezi kuolewa, wakiona ndoa si lazma bhasi hii imeisha

Mwanamke asiyeolewa ni fedheha, wakiliweza hili ile power ya mwanaume katika ndoa itapungua kwa sababu nao hawataiona ni bahati ila ni option

Ukweli mwingine mchungu, mwanamke mwenye kipato na ana vigezo vingine. Ni rahisi kupata mwanaume wa ndoto zake kwa sababu anaonekana na wengi na anakuwa na options nyingi. Japo wengi hawalisemi ila kuna wanaume pia ambao hawakupata wake wa ndoto zao kwa sababu hao wanawake walichagua kuolewa na wanaume wengine

Kwa hiyo ukiongezea na hili ongezeko la wanaume ambao hawataki kuoa wanawake tegemezi au waliotokea katika koo maskini kupitiliza. Na hapo bado hujaongelea ongezeko la wanaume wa mjini wanaowinda wanawake wa kuwalea

Ni dhahiri independent ladies wataendelea kuwa ni hot cake hasa kwa vyuma vinavyoendelea kukaza.

Kwa hiyo mzani unaegemea kwa wanawake na kama wanaume wengi hawatolelewa kudeal na hawa wanawake wanaojiweza na kuwezeshwa. Hali itazidi kuwa mbaya zaidi
 
mwanaume anayezidiwa akili na mwanamke, kachagua tu ila tumewapita mbali sana kwenye almost everything.
Bahati mbaya, wanaume wengi siku hizi wamechagua role reverse, wanataka wawe kama wanawake na wanawake wawe wanaume, hapo ndio hio perspective yako inajengwa.
 
Aah! Kudaadeki!
Oya Mopak hapa unanifanya nianze kukuheshimu milele.
Umeandika vyema sana.
 

Ni kweli Kabisa.
Na zile kasumba mbaya za uungu wa mwanaume zinachangia kwa sehemu kubwa kuleta migogoro ndani ya mahusiano.
 
Ni kweli Kabisa.
Na zile kasumba mbaya za uungu wa mwanaume zinachangia kwa sehemu kubwa kuleta migogoro ndani ya mahusiano.
Kuna wanaume wengi wanaotamani kuwa na wanawake wenye kariba ya mama zao ila wao hawataki kuyaishi majukumu ya baba zao. Na kuna wanawake ambao wanatamani kupata wanaume wenye kariba za baba ila hawataki kuyaishi majukunu ya mama zao 😁😁😁

Ngoja tuishie hapa ila ndio ukweli halisi. Tupo kwenye mkanganyiko
 
Wewe uliwahi kumwona MTU au kiumbe chenye dharau kikakosa Akili?
Dharau inahitaji evaluation Kwanza. Yaani mpaka mtu akudharau au akubague kazima afanye tathmini na anastandard zake.

Swali ni Kwa nini udharauliwe? Au ubaguliwe?

Samia tena
 
Hali ni tete
 
Aah! Kudaadeki!
Oya Mopak hapa unanifanya nianze kukuheshimu milele.
Umeandika vyema sana.
asante kwa hilo. Huyu kachagua maisha yake kazidiwa akili na mwanamke sasa anataka kutupandikizia vichwan tumuamini. Nafiki hata wewe ulishakutana ajali imetokea sehem., ebu niambie ni nani kwa mda ule wanawajibika kwa haraka kama sio wanaume wanawake wanakua mbali wameshika vifua na kuziba macho ni kama wameumia kuliko hata majeruhi. Unless ukute mwanamke aliye na chembechembe za kiume ndio anawajibika au hata msiban ulishakuta mwanamke anachimba kaburi. Huyu mtu angelisema kuwa mwanamke akiwezeshwa anaweza hapo ningemuelewa kidogo. Kuta mwanamke gari limepata pancha ndo utacheka hadi ufe yaan anakuwa ni kama amegongwa na gari lakin mwanamme chap kidogo kabadilisha tairi safar inaendelea.
 
Wanawake ni wajanja mpaka inapofika muda wa kuolewa.

Wanaume ni wajinga mpaka inapofika muda wa kuoa

Kila mtu ashinde mechi zake.
 
Kwamba tumepewa nafasi ya kuongoza mfumo huohuo unaowafanya wanaume wawe misukule ya wanawake au....πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†Kwamba tunajikandamiza wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…