Wanaume wengi mshukuru mfumo umewabeba. Wanawake wangewatesa Sana kwa sababu wanawake wengi wanaakili na wanajitambua kuliko wanaume wengi

wanawake mkiwezeshwa mnaweza..
 
wanawake mkiwezeshwa mnaweza..
 
Mtibeli, nimekuwa shabiki mkubwa sana wa mada zako nyingi unazoziandika humu jukwaani na kuzikubali sana ila nikiri kuwa hii ya leo umezingua sana.

Rudi kafanye utafiti tena then urudi
 
Mtibeli nakukubali sana mwanangu maan mambo yako yakishua ila ni kwel midume inazingua sana
 
We nawe akili zako kama zao tuu. Yaani maneno yote hayo unasifia wanawake au kipa kashaacha goli!!?🤔🤔🤔🤔
 
Kuna wakati Unakuwaga huna Akili

Mwenye Akili na nguvu ndiye anaye unda mfumo

Hao wanawake wangekuwa na huo uwezo na hizo sifa unazo wapa wao ndio wangeunda Mifumo badala yake Walioiunda mifumo ni wanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…