Malizia tu goalkeeper au Ombaomba
Wanawake wengi huamini wanastahili kuhudumiwa, yaani kumiliki uchi anadhani ni dhamana yake kwenye maisha wakati nyuchi ziko nyingi hadi vilabuni huko, Jay Z aliwahi kusema anamuoa Beyonce sababu kubwa ana akili, anajituma na anawajibika kwenye maisha yake mwenyewe,
Naunga mkono hoja, lazima mwanamke awe na mchango kwenye maisha yako pia, awe na vitu anafanya aingize kipato
Umesema kweli, kigezo cha kudhani mwanamke uchi wake ni maliasili ya kumfanya aishi vizuri, kimepitwa na wakati na hatopata mwanaume anayejielewa kamwe, dunia ya leo mwanaume kupata ngono ni dakika yoyote na muda wowote , hivo mwanaume anayejiamini anataka aone kiwango cha akili ya mwanamke na sio awe na mwanamke eti kwa huruma, au mwanamke maskini ni kutaka kuendeleza chain ya umaskini wa kizazi chakoLazima Watoto hasa wakike wajifunze kupitia mama yao namna ya kujitegemea. Siô uzae slay queen
😁😁 sema mimi kuwezeshwa huwa naogopa masimango kibongo bongo, naona bora nijitutumue tu😆😆😆Hiyo iende sambamba na Kwa Wanaume ingawaje tangu Zamani Wanaume walishakuzwa kujitegemea
Dah,Wanaume wengi sasa hivi wanavutiwa na wanawake wenye vipato
Hili ni kweli na mwanamke asie na kazi yeye na kisirani ni ndgu wa damu.Kwangu NI Bora nisumbuane na Mwanamke mwenye Kazi àmbaye NI mtu kuliko nihangaishane na Mwanamke asiye na Kazi.
Mwanamke mwenye Kazi ni muelewa practically Kwa sababu anajua kwèñye kutafuta kûna kupata na kukosa lakini Mwanamke mvivu asiye na Kazi ASIJE akakudanganya NI muelewa, wengi wanalawama, hawana uelewa wowote na UTU wa binadamu isipokuwa wanaishi kwenye nadharia
Dah,
Kwa hiyo msambwanda a.k.a tackle kuwa kigezo imefutwa?!
Hili ni kweli na mwanamke asie na kazi yeye na kisirani ni ndgu wa damu.
Binafsi hata nikae Bar na mwanamke hawezi kuchangia bills hua hata simu haioni tena
😁😁 sema mimi kuwezeshwa huwa naogopa masimamango kibongo bongo, naona bora nijitutumue tu😆😆😆
Sure broUkipata Mtu mnayependana Huwezi kuhisi hicho kitu Kwa sababu chako na chake vyote NI vyenu.
Lakini mapenzi yasipokuwa Full Hapo lazima úwe macho
SIO KWELI.Hakuna uhûsiano wowote baina ya kiburi, jeuri na kukosa utiifu kwa mwanamke na kufanya kwàke kazi.
Ukimwezesha naye anaenda kumuwezesha anayempenda cha muhimu wote mkutane kwenye level ya maendeleo tu....... sio kuwezeshana mkuu .....Kabisa mkuu naunga mkono hoja , ila pia kama mwanamke hana kipato tuwawezeshe wawe na kitu cha kufanya ili walete kitu mezani .
SIO KWELI.
Kwa nini uwe na mwanamke asiye kupenda 😆😆Ukimwezesha naye anaenda kumuwezesha anayempenda cha muhimu wote mkutane kwenye level ya maendeleo tu....... sio kuwezeshana mkuu .....
Mwanamke maskini hawezeshwi anatakiwa akandamizwii twice
Huwezi jua limoyo la mtu mkuu wapo viseversa sanaKwa nini uwe na mwanamke asiye kupenda 😆😆