Wanaume wengi sasa hivi wanavutiwa na wanawake wenye vipato

Katika yale matangazo yao ya kutafuta mwenza,waongezee na hili "nina chanzo cha mapato cha kuendesha maisha pindi tukianza maisha",hii itasaidia kuepuka kurudia tangazo la kutafuta mume mwema zaidi ya miaka 5 bila mafanikio......
 
Yeah!
Nawajue Kabisa wanakuja kusaidiana na Mumewe Kulea familia na siô kuzaa Watoto ili wazinyonye Ñguvu za Mwanaume Kisha baadaye Watoto waseme Nani kama Mama
 
SIO KWELI.

NATAKA KUANDIKA VITU KADHAA HAPA.

MOJA: Wanawake Wapo Na Kitu kinaitwa kwa Lugha ya Kigeni "Inferiority complex" Yaani Wao Wanahisi Jamii Inawaona Dhaifu Kimakosa na Wanafanya Wafanyayo Even to go beyond limits Just to prove Society wrong.

Namaanisha Mwanaume Anakuwa Shupavu kwa Kufanya Vitu Vilivyo ndani ya maumbile na utashi Wake Yaani Kirahisi. (In a passive manner).

Lakini Mwanamke Anapoamua Kuprove wrong the society atatakiwa kufanya like how men Do yaani Sio katika Uhalisia wao bali katika Mithili ya Kiume.

Kuwa Mwanaharakati/Muangaikaji/Mpambanaji kwa wanawake ni Active process (It requires External Energy).

lakini Kwa Mwanaume kuwa muhangaikaji/Mpambanaji Ni passive process (It flows to the direction of nature).

Mwanaume Hapati Changamoto za kimaumbile au za Ki saikolojia katika kule Kuhangaika au kupambana.

Lakini kwa Mwanamke Ni Vice versa. Mfano Mwanamke Mfanya kazi Akiwa katika siku zake(period )Wengine huwa wanakuwa Physically and psychologically unstable.

Mwanamke akiwa Mjamzito. Maumbile yake yanamzuia Kutekeleza majukumu ya kibarua alichonacho kikamilifu. Achilia mbali kipindi cha kunyonyesha nk.

Hivi vyote ili viende sambamba na majukumu ya kazi ya mwanamke inabidi Nguvu ya ziada itumike na gharama za Ziada zitumike.

Lakini kwa mwanaume hilo halipo at normal situations Mwanaume ni Stable katika kila hali ya Upambanaji na Uhangaikaji.

With such Inferiority complex Mwanamke sasa akiwa na PESA HESHIMA(CHEO), AU ELIMU.
KUWA NA KIBURI IS SOMETHING INEVITABLE.

MFANO NATOA;

Chuoni Walimu wenye Masters wakifundisha. Huwa wanafunzi wanakutana na changamoto nyingi kwa sababu mwalimu mwenye Masters anakuwa na Inferiority complex Kwamba Wanafunzi watamdharau sababu ya Elimu yake sio kubwa sana.

So kitu kidogo tuu huenda yeye akachukua action kubwa.

Lakini Lecturer mwenye Phd Huwa hana cha Kuprove kwa Wanafunzi wa bachelor sababu anawaona tuu kama watoto wadogo katika Taaluma.

Hilo lina Apply maofisini kwa maboss wanawake huwa sio waelewa na Wanakuwa na Tabu kwa wafanyakazi wao wakiume. Kila muda anahisi anaenda kudharauliwa(Inferiority complex)

Mwanamke huelewa Kwa haraka jinsi Mtu anavyomchukulia.
Vile utakavyomchukulia Mwanamke hasa mwenye kipato ndivyo atakavyo react.

Mbona Sisi Wengine hizô Kesi hatujawahi kukutana nazo. Na kîla Siku tunakutana na hao Wanawake weñye Vipato, Elimu na Mamlaka?

Ukiwa mwenye heshima, gentlemen hakuna Mwanamke àmbaye hatakuheshimu
 
Rejea Comment Number 45

Hakuna uhûsiano uliopo Baina ya kiburi, jeuri na ukaidi WA Mwanamke na Kazi yake.
Kûna Wanawake NI Maskini lakini Wana kiburi, jeuri na wakaidi.
Alafu pia wàpo weñye vipato àmbao siô jeuri, Hawana kiburi Wala siô wakaidi.
 
Mwanamke huelewa Kwa haraka jinsi Mtu anavyomchukulia.
Vile utakavyomchukulia Mwanamke hasa mwenye kipato ndivyo atakavyo react.

Mbona Sisi Wengine hizô Kesi hatujawahi kukutana nazo. Na kîla Siku tunakutana na hao Wanawake weñye Vipato, Elimu na Mamlaka?

Ukiwa mwenye heshima, gentlemen hakuna Mwanamke àmbaye hatakuheshimu
Nimejitahidi Kuelezea Lakini naona Msimamo wako Ni mgumu kuliko Jitihada zangu.

Nashukuru.
 
Mimi navutiwa na Tako la wastani then chuchu saa 6. kipato ninacho

Una swali?
 
Nikimuajiri mke wako kila nikipata kazi ya kusafiri ntahakikisha nasafiri nae we tulia hapo nyumbani sema mke wako amesafiri kikazi
 
Back
Top Bottom