Wanaume wengi sasa hivi wanavutiwa na wanawake wenye vipato

Wanaume wengi sasa hivi wanavutiwa na wanawake wenye vipato

Mi nataka HAWA THE BUS DRIVER,...ndo awe mke wangu...
 
Imagine unadate na mtu mzima 25+ yrs ila hana hata uwezo wa kununua vocha.
Unamuuliza kwanini hukua unareply texts anakujibu hana vocha, seriously!! Ana maana hata uwezo wa kuipata hana bila kutumiwa na mtu.

Hii ni hatari, hapo hapo ukimuuliza anahitaji mwanaume wa aina gani atakwambia sifa kibao za Me mwenye kipato moja kwa moja.

Kwakweli mwanamke golikipa hata mimi simkubali hata kidogo,
Vocha ni kitu cha kumnyima mtu???😂😂😂😂😂😂😂
 
Ni kwamba mnakwepa majukumu ya kuombwa hela au vipi??? Maana ni kama mnataka kuwakimbia wasio na kazi kwasababu mnaogopa kuwa providers ka asilimia 100 loo🙌💔 hii ni mbaya hiii
 
Sasa demu hana hata mia unampeleka wapi?hao huwa ni wasumbufu kuombaomba hadi viela vidogo vidogo,walau manzi akiwa na kipato chake hata kama ni kidogo usumbufu unapungua
 
Back
Top Bottom