Wanaume wengi sasa hivi wanavutiwa na wanawake wenye vipato

Huduma hata vituo vya yatima inatolewa

Inamaana kûna Watu bado ishu ya familia NI mtihani kuelewa mantiki Yake
Ndio baadaye husema Ndoa NI utapeli
Haya nenda kwenye kituo cha yatima ukapate huduma.
Mzazi wako mwenyewe tuu ndani ya nyumba ukikosa huduma unamuona falaa tuu
 
Single mom ni laana haijalishi ana kipato au hana. Sio mwanamke wa kufanya naye maisha
 

Umemaliza kila kitu 👏👏😀😅
Asomae na afahamu.
 
Mbaya zaidi wanawake wasio na vipato na wenye vipato vidogo wengi ni washirikina na wachawi.
Dhamiri zao zinawashuhudia kuwa they don’t deserve kuwa na Mwanaume msomi au mwenye kipato na huzani ili kujiweka kwenye safe side lazima wamroge Mwanaume wake.

Wanaroga mno
 
Wanawake tegemezi huwa hawajiamini wanahisi kuweza kuachwa wakati wowote au kushindwa kumtawala Mwanaume kwa hiyo njia wengi wanayotumia ni kuwaroga 👌👌
Mnalishwa vitu vya ajabu hadi vinyesi.
Mnafanyiwa ulozi hamjapa kuona.
 
Akikuaga Safari za mara kwa mara wengine wakienda kwenye misiba au shughuli wanasingizia kumbe wanaenda kuwaroga.
Wanaangalia Huyu bwana ana mwanamke mwingine?
Akiambiwa ndio anaroga, vunja nazi , vunja mayai viza, pofusha akili ya Mwanaume ili akitoka kazini ni home, roga kila mke anachokitaka kikubaliwe na mume 👌👌
 
Imagine unakuwa na mwanamke badała ya kuwa daraja anakutenganisha na wazazi wako na ndugu żako kwa kuwatia Iła mbalimbali ikiwepo uchawi
 
Kila mwanadamu amebeba kusudi la Mungu na apaswa kufanyakazi kuzalisha mali .

Ndoa au mahusiano ya mapenzi sio ajira.

Eti binti au mwanamke anakaa kusubiria aolewe ili ajikwamue 😆😆
 
Unatumia nguvu nyingi sana kutetea hoja ambayo unajua kabisa iko kinyume na nature,
Hitaji la mwanaume ni heshima ambayo hawezi kuipata kwa hawa wanawake wapambanaji wa kizazi hiki unaowatetea. Wengi hawahitaji mahusiano ikiwa tu watajimudu mahitaji yao kwa asilimia 100. Labda wewe ndo uwe unalazimisha kitu ambacho hakuwezekani kwa mwanaume halisi.
 
Viben10 na Mariooos kuna jambo lenu hapaa, mkujee harakaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siku hizi wanawake wengi wanazani kuwa na K ni Mtaji tosha wa maisha.
Kwamba huhitaji tena kufanya kazi wala kuzalisha mali kwa jasho sababu ni mtoto wa kike.
Wao kazi hao ni kulała kucha rangi , mekaps na kuvaa mawigi.
Wanaume ndio wawape hela.

Maisha ni kufanya kazi, kazi ni kipimo cha utu

Tangu enzi za mababu mwanamke hodari ni mchapakazi na sio mvivu na goigoi .

Ikiwa mvivu na goigoi huolewi ng’ombe na ikitokea kuolewa unaachika 👌👌

Nani anataka mke mzigo?!
 
Na ukioa mke jobless wewe Mwanaume ujue utakuwa na kazi ya kutumza familia yako na ya wazazi na ndugu wa mkeo 👌👌

Very stressful indeed.

Wanawake wote unao ona wanafanyakazi kwa asilimia ku wa Hela zao wanasaidia wazazi wao na ndugu zao.

Mwanaume uwe unataka au hutaki.

Kama ni mlevi mkeo atakuwa anakuibia Hela ukiwa umelala fofofo anatuma kwao.
Wengine hadi wanajenga.

Na kama ni Hela za wizi utaogopa kumuuliza.

Sasa hiyo inakupunguzia stress Mwanaume za kuelemewa na ulezi/Wegazi wa familia nyingi.

Kwa hiyo asomaye na afahamu.
 
Wanaume walevi wengi huibiwa
Hela na wake zao wanapolala fofofo.

Na kwa kiwa wanaume wengi ni wasahaulifu ndio Basi tena.

Wanawake wengine hadi wana jenga kwa Hela za kuibia wanaume wao walevi.

Mwanamke jobless au kipato chake kidogo anapata wapi Hela ya kununua kiwanja na kujenga kama sio mwizi?

Anasingizia vikoba.
 
Kabisa mkuu naunga mkono hoja , ila pia kama mwanamke hana kipato tuwawezeshe wawe na kitu cha kufanya ili walete kitu mezani .
Suala la kumuwezesha ni jukumu la mzazi wake. Ana baba, mama, dada, kaka kwaiyo hakuna haja ya kuingilia majukumu yasiyokuhusu. Wewe haujatokea kwenye ukoo wa kitajiri bila shaka una ndugu ambao wana hitaji kuwezeshwa pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…