Wanaume wengi sasa hivi wanavutiwa na wanawake wenye vipato

Mi nataka HAWA THE BUS DRIVER,...ndo awe mke wangu...
 
Vocha ni kitu cha kumnyima mtu???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni kwamba mnakwepa majukumu ya kuombwa hela au vipi??? Maana ni kama mnataka kuwakimbia wasio na kazi kwasababu mnaogopa kuwa providers ka asilimia 100 looπŸ™ŒπŸ’” hii ni mbaya hiii
 
Sasa demu hana hata mia unampeleka wapi?hao huwa ni wasumbufu kuombaomba hadi viela vidogo vidogo,walau manzi akiwa na kipato chake hata kama ni kidogo usumbufu unapungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…