Wanaume wengi siku hizi wakiombwa msaada wa kipesa na wadada, wanahisi wanatapeliwa

Wanaume wengi siku hizi wakiombwa msaada wa kipesa na wadada, wanahisi wanatapeliwa

mkuu japo umetumia sms za kadem kangu ka 2004 ila sio mbaya...

sasa hivi hali ya uchumi ni mbaya, hela ni ngumu..

nikikupa hela ewe mwanamke, na wewe toa MBUNYE twende sawa..

wewe sio MAMA yangu kupewa hela BURE
Screenshot_20250206-211725.jpg
 
Kwa wadada walio wengi mwanaume ni money making machine now...
Yani week ya kwanza kodi imekwisha, anataka 60,000 ya ywele, mchango wa harusi sijui hana nguo n.k n.k. Kama umejipata una ela ya kuspend hakuna shida ila kama mahitaji yake ya week tu ni zaidi ya robo ya mshahara wako kijana kimbia umeingia level zisizo zako wewe katafte akina mwajuma hawaombi nyingi.
Juzi nikiwa na mmoja eneo la machinjio alianza kuniambia anataka kusuka dredi na bajeti yake ni 70k.Hapa naelekea Unguja kukwepa hicho kirungu
 
Ninachokifahamu mimi kipindi cha nyuma binti haendi kuanzisha maisha yake peke yake,anatolewa nyumbani kwao kwa kuoleka,unless otherwise ameenda kusalimu ndugu na jamaa ndio akutane na wakuoa huko
Ila hawa wa sasa wajuaji sana na ili amudu gharama za maisha kunyoosha mkono imekua sehemu ya maisha yao,
Patient pays,binti akikaa nyumbani vizuri akajitunza mpaka umri wa miaka 23-25 lazima aolewe tu
Miaka hii vijana wengi hawaweki nguvu kubwa kwakua anaweza kutongoza mchana jioni kapewa anachohitaji sasa nguvu aiweke wapi ?
 
sasa mtu anakuwekea list ya mahitaji yake umekuwa baba yake, halafu wewe upate nini kutoka kwake, hiyo mbususu iliyotumika? lazima vijana washuke kwa sababu anaweza akakupa kwa moyo ila mbususu ikaenda kumpa unayemtaka tena ukamhonga na hela uliyopewa na mwingine.

Mazingira ya utapeli mmeyatengeneza wenyewe, hao wanawaume wa zamani unaowasema walikuwa wanaendana na wanawake wa zamani unamtongoza leo jibu unakuja kulipata mwezi wa nane, hapo unaanza maombi tena ya kuomba mbususu, na ulikuwa ukigusia tu hiyo mada hatihati ya kuachika, sasa saizi unamtongoza kwenye dala dala jibu unapewa hapo hapo, jioni unaitwa mume wangu mpenzi, kesho yake, inaanza sentensi ya nikuambie kituuu...... kwanini usiseme kaa nacho
 
Poleni sana vijana, mnapitia mengi sana. Kweli hapo nyuma mambo hayakuwa mengi namna hii, tulitoa sio kwa kulazikishwa wala kuombwa namna hii...

Leo mdada anakuambia, "sasa usiponipa nani atanipa", "unadhani mahitaji yangu nani anatimiza kama wewe hunipi"

Hivi role ya wazazi kuhudumia mabinti zao inaisha wakati gani? Mbona kama wazazi tumejisahau?
 
Back
Top Bottom