Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Kaka unatembea na nyota yangu.. sema kama unahitaji namba yake nikupeMwachiluwi huyo ni dem wangu aisee mwamba kachukua screnshot yangu hapa nilipo bado najiuliza nimpe au naona dem kakubali kabisa mi niongeze maden daah😄😄
Sio huyo hapo kuna screnshot mbili mkuu nazungumzia hiyo ya piliKaka unatembea na nyota yangu.. sema kama unahitaji namba yake nikupeView attachment 3227178
Juzi nikiwa na mmoja eneo la machinjio alianza kuniambia anataka kusuka dredi na bajeti yake ni 70k.Hapa naelekea Unguja kukwepa hicho kirunguKwa wadada walio wengi mwanaume ni money making machine now...
Yani week ya kwanza kodi imekwisha, anataka 60,000 ya ywele, mchango wa harusi sijui hana nguo n.k n.k. Kama umejipata una ela ya kuspend hakuna shida ila kama mahitaji yake ya week tu ni zaidi ya robo ya mshahara wako kijana kimbia umeingia level zisizo zako wewe katafte akina mwajuma hawaombi nyingi.
Dah Mungu awasimamie aisee mpka mje muelewane sio leoView attachment 3227162
Yani kazi ipo😁
Una malengo nae?Mkuu kuna kitu hapa kweli😁
NdiyoooNyie mnazo ??;
View attachment 3227103
Ukishaona mwandiko wenye "x " kama mbadala wa s" unajua tu hana akili,na tabia zake ni za kishenzi shenzi
Ko binti wa 21yrs anahaha na 10k? Maskini mtoto wa watu anatumika vibayaa, lolmkuu japo umetumia sms za kadem kangu ka 2004 ila sio mbaya...
sasa hivi hali ya uchumi ni mbaya, hela ni ngumu..
nikikupa hela ewe mwanamke, na wewe toa MBUNYE twende sawa..
wewe sio MAMA yangu kupewa hela BUREView attachment 3227176
Hamna mwanamke hapa,ikumbuke hii siku utarudi kushuhudia
Mkuu unaonaje hii battle😁😁Dah Mungu awasimamie aisee mpka mje muelewane sio leo
Naona mnaviziana tuMkuu unaonaje hii battle😁😁
Nilikuwa nayo but kwa tabia zake naona hana sifa ya kuwa mke tutakuja kusumbuana mbeleniUna malengo nae?