Wanaume wengi siku hizi wakiombwa msaada wa kipesa na wadada, wanahisi wanatapeliwa

30k kubwa, 10,000 bao moja na elf 3 ya chumba unakula pisi standard.

Zamani nlikuwa nadhani wanaume wanaonunua wadada wanaojiuza barabarani ni wanaume flani hivi choka mbaya, siku nlienda chobiks nlishangaa wanaume wenye muonekano smart na yenye heshima wananunua maafisa utamu wanaosimama barabarani

Very sad life Fanton Mahal
 
Sasa tupo kwenye 50/50.. kwanini mwingine awe na shida tuu, na mwingine awe anatatua shida za mwingine?

Kila mtu ashinde match zane.

Mwanamke akiomba, azima au.akitaka hela; hairudi... Kuliko kupoteza heri uamue umpe tu au usimpe kabisa.
 
Mizinga ni mingi mkuu akili yako ukiwekeza kwa hawa viumbe utake kuwaridhisha umekwisha
 
Mkuu saiv ukitongoza tu umekwisha utapewa bili za kila kitu kodi ya nyumba kusuka sijui nauli yani mambo kibao mkuu
Ukitaka mambo yasiwe mengi mwache awe free kwako, mi nikimdate mdada yeyote namweka kwenye angle ambayo anakuja free sana kwangu inakua ni rahis mi kujua ratiba zake na mambo yake mengi, mfano anasafiri means akinipa taarifa nasafiri wiki ijayo mi ntapiga hesabu kimya kimya ntajua nimpe Hela kiasi labda Kwa ajili ya nauli, tahadhari, msos etc
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Wakwanza Mimi unaniombaje hela kindevi hivo sikujui unijui wataka nauli nikutumie Wacha niendelee kuonekana bahili pesa ni ngumu huku mtaani hamjui jmn
 
Sasa mkuu mimi huyu wangu kwanza anataka nimpangie chumba, nimlipie nauli kwa mwez kasema nimpe 140k bado kuna kusuka na mambo mengine huku c kukomoana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…