Wanaume wengi siku hizi wakiombwa msaada wa kipesa na wadada, wanahisi wanatapeliwa

Sasa tupo kwenye 50/50.. kwanini mwingine awe na shida tuu, na mwingine awe anatatua shida za mwingine?

Kila mtu ashinde match zane.

Mwanamke akiomba, azima au.akitaka hela; hairudi... Kuliko kupoteza heri uamue umpe tu au usimpe kabisa.
Akiomba hela u aomba mbususu, hiyo ndio 50/50
 
Acha tu mkuu yani siku ya kwanza tulivyokutana na madini aliyokuwa anatema utasema huyu ni mke kweli na kingine huwa aoni aibu kuomba hela halafu inaonekana hii michezo kashaizoea kwanza aogopi kwenda magetoni halafu anajisifu kwamba yeye aogopi mageto ya wanaume sababu anaweza kuja na usimfanye kitu halafu pia naona apendi kutoa mbususu coz wiki iliyopita nilimpeleka dynasty kule nikavunga kama kuuliza kama kuna room pande hizo nikaona kastuka sana na mara nyingi kwangu huwa anakuja pindi nywele zake zimefumuka nadhani ni hicho sana sana ndio huwa kinamleta gheto
 
Sasa mkuu mimi huyu wangu kwanza anataka nimpangie chumba, nimlipie nauli kwa mwez kasema nimpe 140k bado kuna kusuka na mambo mengine huku c kukomoana tu
Kuna single maza Mmoja aliwahi kuniambia kwa pombe unazo kunywa Kodi ya 350,000 na 150,000 upkeeping cost yangu kwa mwezi haiwezi kukushinda.Nikamwambia uko sahihi kabisa.Miezi 8 Sasa nimem-block.Niache kuhudumia familia yangu nihangaike na ww unaeshinda Gym? Impossible
 
Safi sana mkuu sijui hawa viumbe huwa wanatuonaje?
 
Wanawake wagogo (viombi, omba omba) hawana ishu......kosa tu awe na namba yako ya simu kila siku anakuwa na matatizo mapya huku yeye wala hajitumi. Yupo tu nyumbani kupiga umbea na kutafuta wanaume mitandaoni watakaomtatulia matatizo yake ya kujitakia. Dawa yao ni kuwasusa tu.
 
Ni jeuri sana pia mbishi na huwa ajishushi
ukitaka kujua kama mwanamke yupo real na ww hasa hawa kausha damu ww nenda kwao bila taarifa kamchumbie awe mchumba wako
tena mwambie kabisa nataka nikuoe uwe mke wangu tuishi pamoja kwny shida na raha
hapo akikubali niite mbwa kasoro mkia.
 
mtangazie ndoa uone mbio yake anza taratibu za kumuoa uone atakavyo kimbia mbio kama kasongo.

dawa ya kausha damu ww mtangazie ndoa ya magumashi tu hawez tena kukusogelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…