Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Money laundry! Ujuaji wà hovyohovyo.Hayo uliyoyasema sio mahusiano ni USAID na sasa tushagundua ni money laundry tunaenda na sera za Trump.
Laundering na laundry ni tofauti kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Money laundry! Ujuaji wà hovyohovyo.Hayo uliyoyasema sio mahusiano ni USAID na sasa tushagundua ni money laundry tunaenda na sera za Trump.
Wanaume tumepigwa matukio mengi sana, acha tuwe waogaKuna dada alikuwa anatamba kwa mwanamme aliyeanza mahusiano naye, akijisifia mwenyewe kuhusu mwanamme mwingine "mwanamme yule nimekula pesa yake sana yule".
Halafu akaanza mizinga kwa jamaa.
Jamaa akaona hapa miyeyusho tu na mimi naungwa kwenye tela la wale anaojisifia kwamba hala hela zao sana.
Sasa mwanamke kama huyo, anayefanya kula hela za wanaume ni lifestyle na jambo la kujisifia, mwanamme asipotaka kumsaidia, utamlaumu huyo mwanamme kweli?
Una uhakika wewe sio sibling moja na Ayrastar?Mungu ni fundi aiseee
Kabisa ndugu mjumbe na kila mnunuzi anapewa bei yake, inategemea umekuja vipi?Alishasema Lamomy every mbususu has a price
Hao wa buku 30 mnawatoa wapi?
Huku badoo na timder mbona wanaanza na laki mara laki unusu
Nkiwa na makeupMbona umefanana na terms
Ayrastar na Tems tuna Gene's zakufanana😆😆Una uhakika wewe sio sibling moja na Ayrastar?
Muulize vizuri mama yako kipindi kile yule Mnigeria alivyokua anaishi mtaani kwake
basi kwa maelezo yako haya huyo ni kausha damu piga chini haraka sana.Nilishawahi kumgusia hilo nikaona kaanza kuleta brah brah mara mimi bado kidogo kuna changamoto nataka nikumbane nazo ili akili ikomae nikaona hapa amna kitu akaniambia nipange vyumba sehem mbili ili kimoja akae yeye nikamwabia why tusiishi pamoja ili misilipe kodi sehem mbili akachomoa
Hakika hizo mbegu nazihitaji sana,nitengeneze kizazi kitaaaaaaaaaaaamuAyrastar na Tems tuna Gene's zakufanana😆😆
Hizi mbegu ni rare not easily accessible 😹Hakika hizo mbegu nazihitaji sana,nitengeneze kizazi kitaaaaaaaaaaaamu
Kweli mzee na kipindi naanza nae mahusiano aliwahi kunipa namba nipige nikamuuliza kwanini akasema huyo mtu anamdai pesa ya pods akimpigia apokei but mimi nilivyompigia mwamba akapokea nikamwambia fulani kasema umtafute jamaa akasema poa but mwamba akuwahi kumpigia huyo dem saiv ndio napata picha labda mwamba nae alichoka na hizo kerobasi kwa maelezo yako haya huyo ni kausha damu piga chini haraka sana.
mwanamke aliye kuwa real hawezi kuleta bla bla kweny suala linalo husu ndoa.
hapo hakuna upendo ni biashara kwahiyo bidhaa akiikosa kwake ataipata kwingine.Hajali lolote yani🤒😂
Mkuu hadi elfu nane looh🤔Tapeli mwingne uyu
ww nenda kwa bibi yake au mama yake waeleze kuwa nimekuja kutoa barua ya kumchumbia bint yenuKweli mzee na kipindi naanza nae mahusiano aliwahi kunipa namba nipige nikamuuliza kwanini akasema huyo mtu anamdai pesa ya pods akimpigia apokei but mimi nilivyompigia mwamba akapokea nikamwambia fulani kasema umtafute jamaa akasema poa but mwamba akuwahi kumpigia huyo dem saiv ndio napata picha labda mwamba nae alichoka na hizo kero
Nipe connection mkuu wikend ndio inaanza threesome muhimuHiyo 60 ukiongeza 20 ukaitupia hapo telegram unaweza ukapata threesome safi kabisa bila effort yoyote ile. Effort weka kwenye vitu vyenye tija