Wanaume wengi siku hizi wakiombwa msaada wa kipesa na wadada, wanahisi wanatapeliwa

Sasa mkuu mimi huyu wangu kwanza anataka nimpangie chumba, nimlipie nauli kwa mwez kasema nimpe 140k bado kuna kusuka na mambo mengine huku c kukomoana tu
Ulimpata wapi? Mna mda gani kwenye mahusiano? Ana shughuli Gani? Lifestyle lake lipoje?
 
😂😂😂Wakwanza Mimi unaniombaje hela kindevi hivo sikujui unijui wataka nauli nikutumie Wacha niendelee kuonekana bahili pesa ni ngumu huku mtaani hamjui jmn
Kweli mkuu bora kila mtu afe na chake na mbaya zaidi mbususu unapimiwa sa c bora nikanunue malaya tu
 
Sasa 😆 Apo chakufia nini penzi lenyewe haliniridhishi kuna app zinakimbiza mwendo wa kusema tuma nauli 😂😂aaaah weeeeeh Mimi sitatuma tena waniache na arosto zangu
 
Hatari sana mkuu hapa anasikilizia 60k ndio kimbembe kilipo
Huyo mdada aliekuomba 60k

1)Angalia mfuko wako una ziada ya tsh ngapi

2) Angalia anaku treat vizuri au, je anakupikia, anakufulia, anakupa mbususu kwa wakati? Hata kama hakupikii na hakufulii je anapenda ku spend time na ww? Anapendaga akae tu na wewe mpige story?

3) Au huenda unamnyima coz humkubali kihivyo, sio mzuri kihivyo au kuna red flags ushaziona kwake, hivyo unasita kumpa hela

Tumia hizo factor 3 hapo juu kuamua kama utampa hela au la Melancholic
 
Unakuta unatoa kiasi chore unabaki unakula viazi vitam vya buku unaakili kwer ww😂😂
 
Ulimpata wapi? Mna mda gani kwenye mahusiano? Ana shughuli Gani? Lifestyle lake lipoje?
Nilimpata facebook huko, now tuna miezi mitatu ni reception kwenye hotel moja town life style yake ni kawaida tu but wazazi walishatengana halafu hawana maisha yeye anaish kwa bibi yake na nakumbuka aliwahi nambia kuwa apendi mwanaume bahili na asie na pesa nikamuuliza mbona mama yako alikubali kuolewa na baba yako japo ni choka mbaya akasema huyo ni mama yake sio yeye
 
Alafu unakuta Jeuri huyo 😆
 
Vp ilikuwa ni pc ya kueleweka maana hizo pc ndio zinakuwaga na jeuri hiyo
Ni mzuri wa kawaida tu, infact nlimwona fb, nlivomfata inbobo akadai ni mara ya 2 namfata wakati sikumbuki kama nshawahigi hata kuonana nae..

Ukute nlishamtongozaga mtaani halafu nikasahau kama nlimtongoza, hivyo nkamtongoza 2nd time 😅 Melancholic
 
Huyo mdada aliekuomba 60k

1)Angalia mfuko wako una ziada ya tsh ngapi

2) Angalia anaku treat vizuri au, je anakupikia, anakufulia, anakupa mbususu kwa wakati? Hata kama hakupikii na hakufulii je anapenda ku spend time na ww? Anapendaga akae tu na wewe mpige story?

3) Au huenda unamnyima coz humkubali kihivyo, sio mzuri kihivyo au kuna red flags ushaziona kwake, hivyo unasita kumpa hela

Tumia hizo factor 3 hapo juu kuamua kama utampa hela au la Melancholic
Kuspend time namimi ofcouse anapenda but ni sehem za sterehe sana sana sio wife material swala la kufua au kupika huwa alizungumzii halafu kingine huwa azungumz kuhusu future yetu japo huwa namleta kwenye hizo stori ila naona kama achangii na kingine huyo mtoto anacheza michezo mingi kiac kwamba naona hata nikimpa pesa kiac gani bado hatoridhika
 
Bro ruuun, nimeshindwa kupata point ya kumtetea huyo girlfriend wako, maneno yake hayaendani na matendo yake, I think huyo girlfriend wako ni mjanja sana wa saikolojia ya wanaume

Kwa mimi wadada wa hivyo nshakutana nao, Yani ukikaa nao chini na kusikiliza maneno Yao, utasema kesho naoa, nimepata mke, ukimpa muda na kuendelea kukaa nae kwa ukaribu utagundua vingi alivyokuambiaga ni kamba Melancholic
 
Sa
Ukitaka mambo yasiwe mengi mwache awe free kwako, mi nikimdate mdada yeyote namweka kwenye angle ambayo anakuja free sana kwangu inakua ni rahis mi kujua ratiba zake na mambo yake mengi, mfano anasafiri means akinipa taarifa nasafiri wiki ijayo mi ntapiga hesabu kimya kimya ntajua nimpe Hela kiasi labda Kwa ajili ya nauli, tahadhari, msos etc
Safi sana SIMP,uko vizuri boss.
 
Back
Top Bottom