Wanaume wengi tulioko JF hasa MMU ni reject


Cha msingi nionacho hapa ni kwamba ume-FAKE ID na kujifanya mwanaume!! Inauma sana kuwa Ke, umri unaenda alafu unakuwa reject kila kona, sasa umekuja na ujio mpya wa jinsia!
Wewe kama ungekuwa Mwanaume unaletaje hoja ya mwanaume kuwa reject kwa wanawake????
Labda sijui maana ya reject! Ila Ngoja nikwambie kuhusu sisi wanaume, ukitongoza wanawake sita, sio wote watakubali, kwa hiyo, we were made to be rejects at some point inapokuja suala la mahusiano!! Ndo maana tukikataliwa, hatuachi mpaka kieleweke! Sasa kama wewe 'mwanaume' unatongoza mwanamke mmoja, ukikataliwa unakuja kulalamika huku, wewe ni mwanaume suruali!
Vinginevyo wewe ni SUPU YA MAWE weird tafiti zako!
 
Last edited by a moderator:
hahahaaa!! leo ni leo, mmekamatika!!!
 
Wajua sijaelewa, sisi ni reject kivipi??? Huko mtaani wanawake wametureject au humu jamvini??

hahahaaa!! hujaelewa eti!!! haya endelea kusoma labda utaelewa!
 

Teh teh teh
 
.......Daah! simo katik hao uliowafanyia huo utafiti wako. Vigezo vya hao reject vyote vimenipitia pembeni. Vile vile utafiti wako wa kikuda subiri wenye sifa hizo ulizozitaja waje kukurushia mawe.
 

Leo umekumbuka kuvaa pampers.
 

Dogo haujui unachoandika, shule zimefungulia siku nyingi nashangaa wewe hadi leo bado haujarudi shule...kasome dogo sisi kaka zako!!!!
 
Ukinidelete wenzako wananidownload tena na antivirus protection juu.

Mwanaume kama uko vizuri unapaswa kumiliki wanawake wanne kwa uchache ili kuondoa uhaba wa wanaume unaoikabili dunia.

Watu wa mashambani thread zao utawagunduwa tu hapa watu wanaconect the world na kumeet new friend and new challenge.

Hawa ndio aina ya watu Facebook marafiki zake ni walewale wa mtaani badala ya kuconnect na watu wapya.

Huu ni ukenge pasee.
 
Mtoa mada unahitaji maombi hakika.Awali ya yote ukitaka kudig in mwanamke yyote anaetafuta mwanamume kwa JF ndio rejected kitaa au mahali alipo inapelekea kuanza kutafuta wanaume mtanadaoni.inshort hanamaadili kabsa ya Kiungu au kiafrika.Pili sisi wanaume ndio tunapropose kwa wanawake sasa wanawake kututokea sisi hatujazoea hizo culture mwambie aende Ulaya huyo mwanamke.Tatu hakuna mwanaume ambae hanaweza kukosa mwanamke katika sehemu alipo labda awe ana mapepo.
Next time leta mada poa hacha ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…