Wanaume wengi tulioko JF hasa MMU ni reject

Yani..kichwa cha uzi huu kimenifanya nicheke kwa nguvu
 
hahaha leo dogo kalenga mule mule

sindano zinaingia kiulainiiii, bora tu maana walivyozidi kutuandama hata hatupumui, hii ndio kubwa lao la kufungulia mwaka i think ya kufungia pia! teh teh teh
 
sindano zinaingia kiulainiiii, bora tu maana walivyozidi kutuandama hata hatupumui, hii ndio kubwa lao la kufungulia mwaka i think ya kufungia pia! teh teh teh

hahah ona wanavyopanick ila dogo kaongea point kama mtu hana vigezo alivyotaja ni reject tu atafiti wapi kidding
 
kuna thread zingine mwanamke unapita tu. haina haja yakukomenti. maana mtoa mada ni mjinga sana

hahahaaaa!!! mkiongelewa basi watu hawana akili ila tukiongelewa mnajazana na kejeli za kutosha, mkuki kwa nguruwe??? tena bora kaongea mwanaume mwenzenu maana duuuh!!!
 
Uwezo mdogo wa kufikiri na kuchambua mambo na kutambua kuwa si kila unaloliona huku cyberworld ni la kweli umekusababishia kuongea pumba kuu. Hivi hata uhakika wa jinsia ya members unao?
 
Rejected men are always bitter. Wanaonekana tu wanavyopondea wanawake huku.Ile sumu ya rejection ndio wanakuja kuimalizia huku.
 
Ww wala hujakosea mm nilivo mbaya na sura km bi kidude au remi, na kazi sina, elimu nimeishia darasa la nne vyooo :sly::sly: GUD MRNG ila sku nwanamke akija kuniona humu jf hang'atuki
 
sio wote tunaotafuta madem kama wewe.......hongera kwa kuji-reject kaanze upya....
 
Jumatatu siku ya kazi asubuhi na mapema mwanaume unaanzisha mada za mapenzi.
Nchii hii ina hatua kubwa kupiga vita umaskini
 
Jumatatu siku ya kazi asubuhi na mapema mwanaume unaanzisha mada za mapenzi.
Nchii hii ina hatua kubwa kupiga vita umaskini

mmmh!! hii mada haijaanzishwa leo rudia kuangalia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…