Wanaume wengi tunajipa moyo kuwa uzuri wa mwanaume upo mfukoni, sababu tunajijua muonekano wa wengi wetu ni mbovu

Kuna upande ni kwel na kuna upande sio kweli, ila inshu ya pesa iko hivi unapoitoa kwa mwanamke just for love au sex mana ake una dalaliwa hisia ili ukamwage tu bhc na sio et true love, na ndo mana una kuna pisi kali ina wana kwa ajil ya hela na wana kwa ajili ya true feelings thus mimi huwezi nambia nijtafte nikjpata ndo nione huo useng€ cwez fanya mana hawatokuja kwa ajil yangu watakuja kutafuna jasho langu kfupi tunaanza wote tumalze wote na hii sasa husaidia ndoa kudumu sio uko jitu linawaza talaka tu. mtanyooshwa mno mazwazwa.
sorry kdogo nmetoka kwa topic mm ni mkenya over.
 
ladies want to be with him, men want to be him

it's only that men won't admit it😁

juzi tu nafungua youtube nakutana na #AaronPierreisMufasa kila mahali.
 
Mkuu uzuri wa mwanaume unaonwa na mwanamke,na uzuri wa mwanamke unaonwa na mwanaume kwa sababu kuna mvutano kati yao.

Alafu suala la uzuri ni mtazamo tu ww unacho kiona ni kizuri mwenzako anaweza kutafuta huo uzuri akaukosa.
 
Mwanaume kuwa nzuri inasaidia nn mkuu km hauko na pesa Kwa wallet ..
 
Hajajua huyo aaron huo uzuri umekuzwa hiv juz tu baada ya kutusua. Yupo kitaaambo ila hata hakua ame trend. Pesa tu ndio imeleta maneno yote hayo kwa hao ma manzi
 
Kwa mwanaume uzuri sio sura ni appearance hakikisha unavaa saa mkononi unavaa miwani unavaa vizuri perfume kidogo be a gentleman don't chase attracts na huo ndio uanaume sasa.
 
Kwa mwanaume uzuri sio sura ni appearance hakikisha unavaa saa mkononi unavaa miwani unavaa vizuri perfume kidogo be a gentleman don't chase attracts na huo ndio uanaume sasa.
Ukishakuwa na mwili wa kiume, umemaliza kazi. Kataa vitambi.

Haina haja ya kunukia sana, kwanza kunukia sana ni kama adhabu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] u mad my day kwanin lakin[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…