Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Habarini
Huu ni ukweli mchungu ambao wadada na wakaka wengi wanashindwa kusema, wanaume wengi wetu sisi tuna vitambi kama tumebeba mimba, vimbaumbau, mwili mmoja rangi mbili, ngozi ya mwili kama ya mamba, meno kama foleni za madumu, halafu tunategemea tupate pisi kali
Asiwadanganye mtu uzuri wa mwanaume haupo mfukoni kwake tu, hata kwenye muonekano wake, 80% ya sisi wanaume tuna sura mbaya, mdada anaweza akaishi miaka 80 kwenye miaka yote iyo akakutana na wanaume wazuri labda watatu tu, wengine wooote sura mbovu, half tunalalamika wadada siku izi wanapenda hela, sasa watupendee nini kama muonekano yetu mibovu
Ndo maana ivi karibuni huyu Aaron piere katrend mtandaoni, sababu ya u handsome wake, karibia kila mdada anamuongelea, halafu mnasema uzuri wa mwanaume upo mfukoni, ooh tafuta hela upate pisi kali
Mtu akikwambia tafuta hela upate pisi kali, au akikwambia yule mdada kakukubali kwasababu una gari/nyumba/unamhonga, ujue kakutusi, indirectly kakuambia hauna muonekano mzuri, hivyo hakuna mdada atavutiwa na muonekano wako, labda aje kwako kufata hela.
Lamomy wajua mm muonekano wangu kwa mbaali nafanana na huyu jamaa Aaron piere hapa chini, ni kwa vile tu sina six pack na kifua 😅