geophrey140
Senior Member
- May 4, 2013
- 134
- 208
hivi huwa watu wanafikilia nini humu ndani au wana hisi tupo kwenye mitandao ya kuwekaweka ujinga .......Habari ndio hiyo wanaume wanaotumia mtandao huu wa jf na facebook mnaongoza kwa uchovu na hali mbaya, hasaa hawa wa jf ndio kichefuchefu maneno mengi yamewajaa lakini mifuko imetoboka na mapenzi hamjui hasa wale wa mkoani
Ifuatayo ndio mitandao yenye wanaume wenye pesa na wanaojua mapenzi
1.twitter
2.skype
3.Badoo
4.snapchat
5.reddit
Povu ruksa jomon[emoji23][emoji23]
Including youJf ina mataahira mengi
Huyo mtoto kwenye avatar yako anaitwaje?We kahaba tu
Huwa namshangaa sana huyu jamaa mleta mada.Sawa RICHARD ABRAHAM (RICHAABRA)
Haya nioeNataka nikuoe
Kumbe uko huku kutafuta mabuzi?Habari ndio hiyo wanaume wanaotumia mtandao huu wa jf na facebook mnaongoza kwa uchovu na hali mbaya, hasaa hawa wa jf ndio kichefuchefu maneno mengi yamewajaa lakini mifuko imetoboka na mapenzi hamjui hasa wale wa mkoani
Ifuatayo ndio mitandao yenye wanaume wenye pesa na wanaojua mapenzi
1.twitter
2.skype
3.Badoo
4.snapchat
5.reddit
Povu ruksa jomon[emoji23][emoji23]
PM kufanya nini wewe nioe tu hapa hapaNjoo PM nikuoe vizuri
Mwanaume je wewe ni jinsia gani??Wewe ni jinsia gani?
Mwanaume huwa anaona aibu? Au mwanamke wewe!!Hapa hapa naona aibu baby kukuoa
Vice versa is trueJinsia ya mme wenu
Khaaa wewe sasa si unatuonea kutusema na uchovu wetu.?Habari ndio hiyo wanaume wanaotumia mtandao huu wa jf na facebook mnaongoza kwa uchovu na hali mbaya, hasaa hawa wa jf ndio kichefuchefu maneno mengi yamewajaa lakini mifuko imetoboka na mapenzi hamjui hasa wale wa mkoani
Ifuatayo ndio mitandao yenye wanaume wenye pesa na wanaojua mapenzi
1.twitter
2.skype
3.Badoo
4.snapchat
5.reddit
Povu ruksa jomon[emoji23][emoji23]
Ndiyo fani inayokuweka mjini hiyo lazma uitajeUmeongea taarabu
Huyo mtoto kwenye avatar yako anaitwaje?
Hata Joseverest naye huwa anamtumia.