Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Hehe
Diagnosis; Ukimiliki shamba la miwa Karibu na shule ya msingi ya kutwa utapata tabu SanaWanawake ni watu wa kutongozwa na wao pia huwa wanatongoza.
Wanaume kibao tu huwa wanajua wanapigiwa wake zao lakini inabidi wakae kimya.
Maisha ya ndoa au mahusiano ya muda mrefu yanachangamoto.