Wanaume wengi wamejisahau kwenye suala la Skin Care na kunukia vizuri

Wanaume wengi wamejisahau kwenye suala la Skin Care na kunukia vizuri

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
Unakuta mwanaume pua imejaa mafuta hadi inatoa vinywele vyeupe, kwenye kucha nako ni chafu, tena kam anafanya kazi gerage ndio kabisa. Wengine nyuma ya mikono kumekakamaa sana, hata mafuta hawapaki, hii sio sawa.

Mwanaume unakua na ngozi laini, kucha safi, kama huwezi kwenda saluni basi sugua nyumban, pua unaikamua kutoa mafuta, unapaka lotion yako nzuri na pafume unanukia vizuri.

Mi hata perfume inayonulia vanila huwa naipiga na mke wangu anaipenda. Ngozi laini hata mtoto wa kike anakushika anaona raha, sio kama anashika msasa wa kusugulia mbao.

Men for skin care, be soft, be good
 
I smell the presence of a yag
FB_IMG_17471604760709705.jpg
 
Ndo uliye crushiwa na mke wa mtu ? Upo salama ?

Ni sahihi kuwa na ngozi nzuri Ila kiasi maake mwanaume uking'aa napo sana au kuwa msoup sana jau,

Kwenu Dr am 4 real PhD secretarybird kazi yako nasikia hutoki kwa kioo ni kujitizama tuu
Umenena kiutu uzima.
Mwanaume usiwe na ngozi ya kuteleza kama ya konokono ili watu wasiteleze na wewe.

Ngozi ing'are kiasi tu!
 
Kama shida yako ni kutafuta muonekano na mvuto sio kwenye lotion na hizo mambo zingine za kike, mvuto na muonekano wa mwanaume ni PESA TUU, wavulana wa "daslamu" mna matatizo makubwa kweli, jichunguze vizuri
 
Unakuta mwanaume pua imejaa mafuta hadi inatoa vinywele vyeupe, kwenye kucha nako ni chafu, tena kam anafanya kazi gerage ndio kabisa. Wengine nyuma ya mikono kumekakamaa sana, hata mafuta hawapaki, hii sio sawa.

Mwanaume unakua na ngozi laini, kucha safi, kama huwezi kwenda saluni basi sugua nyumban, pua unaikamua kutoa mafuta, unapaka lotion yako nzuri na pafume unanukia vizuri.

Mi hata perfume inayonulia vanila huwa naipiga na mke wangu anaipenda. Ngozi laini hata mtoto wa kike anakushika anaona raha, sio kama anashika msasa wa kusugulia mbao.

Men for skin care, be soft, be good
Kumbe
 
Back
Top Bottom