Wanaume wengi wamejisahau kwenye suala la Skin Care na kunukia vizuri

Wanaume wengi wamejisahau kwenye suala la Skin Care na kunukia vizuri

Mpaka tar ya Leo sijui hata ni mafuta gani au lotion natakiwa kupakaa, kweli Nina sura ya mahojiano na Hoja za kimtamzamo lkn wadada wananivumilia sanaaaa kiasi hata huruma zao zinawafanya kuvua hata madaraka Yao! Acha wanielewe wachache
Uko shaby by nature
 
I Smell something fishy here

Wakuu amkeni One man down i repeat one man
Do you copy?
 
Huu uzi upo kinyume na maadili. Naomba ufutwe vijana wa taifa hili wanaangamia. Eti wanataka kunukia, wawe laini 😳
 
Ndoto zangu zilikuwa nije kusomea upadri ziliyeyuka nilipopuliza moshi wa weed - Roma Mkatoliki
 
Unakuta mwanaume pua imejaa mafuta hadi inatoa vinywele vyeupe, kwenye kucha nako ni chafu, tena kam anafanya kazi gerage ndio kabisa. Wengine nyuma ya mikono kumekakamaa sana, hata mafuta hawapaki, hii sio sawa.

Mwanaume unakua na ngozi laini, kucha safi, kama huwezi kwenda saluni basi sugua nyumban, pua unaikamua kutoa mafuta, unapaka lotion yako nzuri na pafume unanukia vizuri.

Mi hata perfume inayonulia vanila huwa naipiga na mke wangu anaipenda. Ngozi laini hata mtoto wa kike anakushika anaona raha, sio kama anashika msasa wa kusugulia mbao.

Men for skin care, be soft, be good
Hamna mwanaume hapa
 
Mimi napenda kidume aliyekomaa haswaaa, awe kama chuma.

Tena wale mafundi gereji nikiwaona mpaka mbunye yangu inafukuta. Unakuta toto limekomaa kama ukuta!

Usiombe akushike wowowo, yaani unakojoa kama kuku kishingo.... ni mwendo waa tiriririii.....tiriririi.... tiriiririiikaaaaaa.... majii... mwaaaa..... waaaahhh.... chepe chepe....

Usithubutu akuinamishe chuma mboga.... khaaaa... hebu nikaoge mieee..

Cc: Lamomy cocastic Extrovert Balqior Half american Bolotoba Mbaga Jr Lamomy Kalpana ndege JOHN Binti kiziwi Kalpana Demi Dr. Mariposa Culture Me
Naona ukanitag mara mbili mbili nije nione upuuzi wako😃😃
 
Back
Top Bottom