Unakuta mwanaume pua imejaa mafuta hadi inatoa vinywele vyeupe, kwenye kucha nako ni chafu, tena kam anafanya kazi gerage ndio kabisa. Wengine nyuma ya mikono kumekakamaa sana, hata mafuta hawapaki, hii sio sawa.
Mwanaume unakua na ngozi laini, kucha safi, kama huwezi kwenda saluni basi sugua nyumban, pua unaikamua kutoa mafuta, unapaka lotion yako nzuri na pafume unanukia vizuri.
Mi hata perfume inayonulia vanila huwa naipiga na mke wangu anaipenda. Ngozi laini hata mtoto wa kike anakushika anaona raha, sio kama anashika msasa wa kusugulia mbao.
Men for skin care, be soft, be good