Unamaanisha PIN PIN hayupo 😁Kipa katoka
Haaahaa 😆 ngoja tuonee.. WANAUME NI JESHI LA VITA.Ndo uliye crushiwa na mke wa mtu ? Upo salama ?
Ni sahihi kuwa na ngozi nzuri Ila kiasi maake mwanaume uking'aa napo sana au kuwa msoup sana jau,
Kwenu Dr am 4 real PhD secretarybird kazi yako nasikia hutoki kwa kioo ni kujitizama tuu
Umenena kiutu uzima.Ndo uliye crushiwa na mke wa mtu ? Upo salama ?
Ni sahihi kuwa na ngozi nzuri Ila kiasi maake mwanaume uking'aa napo sana au kuwa msoup sana jau,
Kwenu Dr am 4 real PhD secretarybird kazi yako nasikia hutoki kwa kioo ni kujitizama tuu
KumbeUnakuta mwanaume pua imejaa mafuta hadi inatoa vinywele vyeupe, kwenye kucha nako ni chafu, tena kam anafanya kazi gerage ndio kabisa. Wengine nyuma ya mikono kumekakamaa sana, hata mafuta hawapaki, hii sio sawa.
Mwanaume unakua na ngozi laini, kucha safi, kama huwezi kwenda saluni basi sugua nyumban, pua unaikamua kutoa mafuta, unapaka lotion yako nzuri na pafume unanukia vizuri.
Mi hata perfume inayonulia vanila huwa naipiga na mke wangu anaipenda. Ngozi laini hata mtoto wa kike anakushika anaona raha, sio kama anashika msasa wa kusugulia mbao.
Men for skin care, be soft, be good
Hahahaha jamaa anataka sunscreenUmenena kiutu uzima.
Mwanaume usiwe na ngozi ya kuteleza kama ya konokono ili watu wasiteleze na wewe.
Ngozi ing'are kiasi tu!
Ngoja wahuni wamfanye....Hahahaha jamaa anataka sunscreen
WAmfanyr nn 😩Ngoja wahuni wamfanye....
😭WAmfanyr nn 😩