MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,555
- 6,773
Unataka mwanaume anukie vizuri ili iweje? Isijekua wewe ni mkazi wa kinondoni π€£π€£π€£π€£.Unakuta mwanaume pua imejaa mafuta hadi inatoa vinywele vyeupe, kwenye kucha nako ni chafu, tena kam anafanya kazi gerage ndio kabisa. Wengine nyuma ya mikono kumekakamaa sana, hata mafuta hawapaki, hii sio sawa.
Mwanaume unakua na ngozi laini, kucha safi, kama huwezi kwenda saluni basi sugua nyumban, pua unaikamua kutoa mafuta, unapaka lotion yako nzuri na pafume unanukia vizuri.
Mi hata perfume inayonulia vanila huwa naipiga na mke wangu anaipenda. Ngozi laini hata mtoto wa kike anakushika anaona raha, sio kama anashika msasa wa kusugulia mbao.
Men for skin care, be soft, be good
Astakafirullah ππ
Kwani kinondoni Ina nn mm Kuna kipindi nimetaka nihamie huko nimeshinda sana huko mbn kupo kawaida? Ila sinza vs kino aaah sinza ndo kubovu maake huko nimeishi na kulala kabisaUnataka mwanaume anukie vizuri ili iweje? Isijekua wewe ni mkazi wa kinondoni π€£π€£π€£π€£.
Hili ni bwabwa. Jana tu limeleta uzi wa kujisifia ni liremboNdo uliye crushiwa na mke wa mtu ? Upo salama ?
Ni sahihi kuwa na ngozi nzuri Ila kiasi maake mwanaume uking'aa napo sana au kuwa msoup sana jau,
Kwenu Dr am 4 real PhD secretarybird kazi yako nasikia hutoki kwa kioo ni kujitizama tuu
AstakafirullahAstakafirullah π
Mla mdudu wewe πAstakafirullah
Wamtemee kohoziWAmfanyr nn π©
We nisingizie tu!Mla mdudu wewe π
ππWe nisingizie tu!
Duuuh π€Wamtemee kohozi
ππππMimi napenda kidume aliyekomaa haswaaa, awe kama chuma.
Tena wale mafundi gereji nikiwaona mpaka mbunye yangu inafukuta. Unakuta toto limekomaa kama ukuta!
Usiombe akushike wowowo, yaani unakojoa kama kuku kishingo.... ni mwendo waa tiriririii.....tiriririi.... tiriiririiikaaaaaa.... majii... mwaaaa..... waaaahhh.... chepe chepe....
Usithubutu akuinamishe chuma mboga.... khaaaa... hebu nikaoge mieee..
Cc: Lamomy cocastic Extrovert Balqior Half american Bolotoba Mbaga Jr Lamomy Kalpana ndege JOHN Binti kiziwi Kalpana Demi Dr. Mariposa Culture Me
Mademu wananipenda sana kuliko unavyofikiria.Ndo uliye crushiwa na mke wa mtu ? Upo salama ?
Ni sahihi kuwa na ngozi nzuri Ila kiasi maake mwanaume uking'aa napo sana au kuwa msoup sana jau,
Kwenu Dr am 4 real PhD secretarybird kazi yako nasikia hutoki kwa kioo ni kujitizama tuu
Unafanyaga na enema kabsa ukienda Kwa shemej yetu Ili ustoe kisamvu?πππVikao vya kua wachafu, sitakuepo