Wanaume wengi wamejisahau kwenye suala la Skin Care na kunukia vizuri

Mpaka tar ya Leo sijui hata ni mafuta gani au lotion natakiwa kupakaa, kweli Nina sura ya mahojiano na Hoja za kimtamzamo lkn wadada wananivumilia sanaaaa kiasi hata huruma zao zinawafanya kuvua hata madaraka Yao! Acha wanielewe wachache
Uko shaby by nature
 
Ngoja kwanza ninywe castle lite 8 nitarudi
 
I Smell something fishy here

Wakuu amkeni One man down i repeat one man
Do you copy?
 
Huu uzi upo kinyume na maadili. Naomba ufutwe vijana wa taifa hili wanaangamia. Eti wanataka kunukia, wawe laini 😳
 
Ndoto zangu zilikuwa nije kusomea upadri ziliyeyuka nilipopuliza moshi wa weed - Roma Mkatoliki
 
Hamna mwanaume hapa
 
Naona ukanitag mara mbili mbili nije nione upuuzi wakoπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…