Wanaume wengi wanateswa na wanawake wa aina hii lakini wanaumia ndani kwa ndani matokeo yake kupelekea maafa

Vya kuiba vitamu
 
Mkuu ukweli ni kwamba hakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke, never ever! Ukiona Kuna urafiki basi hapo wote wanatakana maana n watu wazima,poleni sana lakini hongera kwa kumpata uliyefanana nae.
 
Halafu mkuu samahani,hivi mkeo anakucheat na unamsamehe kwani ww unamatatizo ya nguvu za kiume? Usinambie habari za maslahi ya familia ohoo
 
Unaogopa kupoteza vitu vinavyo tafutwa? We jamaa jinga sana, utaletewa Ngoma ushangae, sio visasi huyo ni Malaya tu Tena aliyechangamka......wenzako tuliacha Kila kitu magari,nyumba,vitega uchumi, tukaondoka na nguo tu......achana na huyo mwanamke kwanza limbukeni,mshamba hajielewi.........tulikimbia wenzako kutafuta amani yamoyo, na maisha ya songa, watoto Wana soma
 
Maua yako mwambaaaaaa
 
Malengo yako ya kuishi na huyo mwanamke ni kwa manufaa yako au ya jamii inayokuzunguka?

Kimsingi hapa utapata majibu kadhaa lakini ni busara ukawa na maamuzi yako baada ya kutafakari kwa kina.

Ishu yako inatatulika ukichukua hatua sahihi.
 
Kuchepuka ni kosa kubwa na linakubalika mahakamani bila shida
 
Huyo halipizi kisasi huyo ni cheater kama sisi wanaume ni anatafuta tu cha kuhalalishia kucheat kwake.

Ila una moyo. Mtu anakiri kabanduliwa na upo naye
Tena zaidi ya mara moja[emoji23][emoji23][emoji23] Kuna wanaume mizigo
 
Ukute yuko humu anakusoma. Imeenda hiyo
 
Kwanini hublock hizo namba unazozitilia mashaka na kisha kuzifuta kwenye simu ya my wife wako??
 
Mambo ya ndoa ni magumu sana kiukweli, mmh sijui kama ntayaweza, ila tatizo bro unaonekana we ni mtu poa na unapenda sana Diplomasia katika mahusiano yako. Sisi ni waafrika bro. Dah, ushafeli utakuwa mtumwa daily. Mwanamke wa kushindana na mwanaume wake Live ni Ibilisi
 
Piga chini..vuta mama ingine alafu mwambie nayy atafute bwana mwingine kama atatoboa mwezi ajapigwa nje ndani ..hapo ndoatajua kushindana na mwanaume sio sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…