Wanaume wengi wanateswa na wanawake wa aina hii lakini wanaumia ndani kwa ndani matokeo yake kupelekea maafa

Short and Clear hapo mdau hamna mke jiongeze mapema ...
 
Kaka kwenye maongezi yeyote yale ukisikia wanasema kuna wanaume mabwege basi ujue kuwa wewe upo miongoni mwao.
 
Hii situation ni hatari sana kwa ambao hawajai kuishi hivi hawawezi elewa umekaa na mtoto wa mtu 8 years umemdhalisha then anakuletea mauza uza ukitaka kumuacha lzm ujipange kisaikolojia la sivyo ni zoezi gumu sana sana..
 
Daah
 
Huyo ni malaya tu ndugu yangu, kwa mwanamke mwenye akili hawezi kuona Mme anacheat nae kakimbilia huko... huyo hata usipokuwa na marafiki wa kike bado ataendelea kugongwa tu, hiyo ni tabia yake asili ambayo hata umshauri namna gani atakuwa anapumzika baadae anarudia. Mimi nakuomba, shirikisha ndugu zako, na ndugu zake ili hata kama ni kuachana muachane salama maana kwa tabia hiyo atagongwa sana. Huwezi kuishi dunia ya kujifungia eti sitaki rafiki wa kike, kuna wanaume wana mpaka watoto nje na familia zao zinafahamu na wanaishi kwa kupendana bila mgogoro wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…