Huo ndo ukweli. Alaf ukiwakuta huko nje vijiweni na umu jf wanavotunisha vifua waonekane wake zao wanawasujudia kumbe wao ndo wanawasujudia wake zao 😂 wanawaogopa wake zao mpaka wanatia huruma wengine wamegeuka mazoba wanapokua majumbani 😂😂 mbaya zaidi baadhi ya wanawake hawajui kama waume zao wanawaogopa!!