Wanaume wengi wanawaogopa wake zao

Wanaume wengi wanawaogopa wake zao

Ni wale wasio na uwezo wa kutafuta mbadala pindi wanaposumbuliwa

Yaani mbadala wa mke wangu nimezaa nae watoto wa2 namtoa wapi sasa?

Ujanja wa mwanaume/Mwanamke ni kabla ya kuoana na kuzaa watoto.

Ukishaoana na kuzaa watoto na mtu, Kila next step lazima ufikirie mara 2 kuliko kabla ya hapo
 
namtoa wapi sasa?
1735926579014.png
 
Fa
Huo ndo ukweli. Alaf ukiwakuta huko nje vijiweni na umu jf wanavotunisha vifua waonekane wake zao wanawasujudia kumbe wao ndo wanawasujudia wake zao 😂 wanawaogopa wake zao mpaka wanatia huruma wengine wamegeuka mazoba wanapokua majumbani 😂😂 mbaya zaidi baadhi ya wanawake hawajui kama waume zao wanawaogop

Fafanua kidogo, wanawaogopa,kwamba wanahofia kupigwa makofi? Uoga wao ni kama wa mwananchi kwa mjeda?mwanafunzi kwa mwalimu? Au,? Konda kwa polisi?
Au, ile Hari ya maanaume, kuweka Amani, na kuamua kutotumia mateke na Nguni, katika kutatua changamoto?
Ujasiri sio kutia mke makofi , Nguni, mateke pale unapohisi amekosea, tena mbele ya watoto! Wakati mwingine, ni vyema ukae Kim ya, ili kuleta Amani, Mambo ya familia hayatatuliwi kwa maguvu, kama bado unaamini, mfsno meet, akigoma kukupikia, kufua, basi suruhisho hapa ni kumtandika magumi, na mateke, fukuza, akuachie watoto utalea mwenyewe na mama wa kambo!bro bado hujakomaa! Mke ukimchoka, fukuza taratiiibu, kwa kufata sheria, rudisha kwao akiwa Hana hata mkwaruzo!
If you know ur strength, huna haja ya kujimwambafy!
 
Me nafata maandiko ya huko chini tu natembeza kipigo mpaka meno yanamlegea mtu na kesho mapema chai natengewa, endeleeni na mambo ya haki sawa sijui haki za binadamu mtaona mwishoni,

Alafu wazee kuna vipindi vya redio na tv wanawapa ujinga sana sana wake zetu, juzi nimelala naona wife anapika haraka haraka awahi kipindi nikasema acha nione duuuh , ni wadada flani hivi wana kipindi dstv wanachofundisha mara " sisi wanawake tusikubali , mara tunaonewa, mara mwanamke hakikisha mumeo anakupa mshahara wote ,

Hapo hapo nikabadili

Dawa iko chini
....
1000315941.jpg
 
Back
Top Bottom