Wanaume wengi wanawaogopa wake zao

ntuchake

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2024
Posts
408
Reaction score
1,549
Huo ndo ukweli. Alaf ukiwakuta huko nje vijiweni na umu jf wanavotunisha vifua waonekane wake zao wanawasujudia kumbe wao ndo wanawasujudia wake zao πŸ˜‚ wanawaogopa wake zao mpaka wanatia huruma wengine wamegeuka mazoba wanapokua majumbani πŸ˜‚πŸ˜‚ mbaya zaidi baadhi ya wanawake hawajui kama waume zao wanawaogopa!!
 
Mimi ninachokijua wanawake wasiowaminifu wanawaloga waume zao kwa waganga ili wawatawale! Mwanamme anayejielewa hawezi kulogwa na mke! NI mazwazwa ndo mwisho wa siku wanapigwa na wake zao!
 
Ni wale wasio na uwezo wa kutafuta mbadala pindi wanaposumbuliwa
 

β€œEnyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake;"

β€” Waefeso 5:25 (Biblia Takatifu)
 
Unazingua man kwanini unamuogopa mke wako, au huwa anakupa nakozi za kuzidi πŸ˜‚
 
Mimi ninachokijua wanawake wasiowaminifu wanawaloga waume zao kwa waganga ili wawatawale! Mwanamme anayejielewa hawezi kulogwa na mke! NI mazwazwa ndo mwisho wa siku wanapigwa na wake zao!
Kwamba wanaume wao hawajui kuloga? Wakaloge wasilogwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…