Wanaume wenye hela na wale magenius hawaoi Mke zaidi ya Mmoja

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Kipimo cha akili na uwezo wa kifedha kwa Mwanaume ni namna anavyocontrol hisia zake za mapenzi.

Duniani kote mwanaume mwenye akili hapendi migogoro kwenye ndoa yake wala maisha yake.

Ndio maana hata wale waliofanikiwa kiuchumi, masadaka au siasa hawaoi kabisa au wana kuwa na mwanamke mmoja tu.

Kama wewe una mume mwenye wanawake wengi jua kabisa umeolewa na Punguani shukuru Mungu ana akili za kuvuka baarbara na vihela vya kula na kulala
 
Bush dokita hayo umeyatoa wapi, ni utafiti au ni kwasbabu wewe ni mtoto wa singo maza?
 
Naona upo kilingeni Sasa Unataka kutupumbaza.
FB_IMG_17312316336174719.jpg
 
Kipimo cha akili na uwezo wa kifedha kwa Mwanaume ni namna anavyocontrol hisia zake za mapenzi.

Duniani kote mwanaume mwenye akili hapendi migogoro kwenye ndoa yake wala maisha yake.

Ndio maana hata wale waliofanikiwa kiuchumi, masadaka au siasa hawaoi kabisa au wana kuwa na mwanamke mmoja tu.

Kama wewe una mume mwenye wanawake wengi jua kabisa umeolewa na Punguani shukuru Mungu ana akili za kuvuka baarbara na vihela vya kula na kulala
Na hao wenye mke mmoja maisha yao ni mafupi. Huishia katka stress na kukosa wa kuwahudumia uzeeni.
 
Sina uhakika na utafiti wako, ila ki ukweli kumiliki mwanamke zaidi ya mmoja ni chaos.

Itakulazimu upoteze muda mwingi sana kuwafurahisha (kuwapigia simu, kuwaridhisha kimapenzi, kuwashauri, kuhakikisha shida zao zinatatulika, kupiga nao story, at the same time kuhakikisha siri haivuji)

Hiyo ni kazi kubwa sana sana ambayo inaweza kukukosesha muda wa kufanya mambo ya msingi kukuongezea kipato chako
 
Elon Musk anao 12 na bado ana muda wa hayo ya msingi na anakimbiza dunia mchakamchaka kama kawaida!
 
Kipimo cha akili na uwezo wa kifedha kwa Mwanaume ni namna anavyocontrol hisia zake za mapenzi.

Duniani kote mwanaume mwenye akili hapendi migogoro kwenye ndoa yake wala maisha yake.

Ndio maana hata wale waliofanikiwa kiuchumi, masadaka au siasa hawaoi kabisa au wana kuwa na mwanamke mmoja tu.

Kama wewe una mume mwenye wanawake wengi jua kabisa umeolewa na Punguani shukuru Mungu ana akili za kuvuka baarbara na vihela vya kula na kulala
Muongo. Mbona Aziz Ki kaacha mke huko kwao Burkina Faso kaja Bongo kaoa tena Amisa Mobeto baada ya kupata pesa za goli la mama?
 
Rais Nyerere - Mke mmoja
Rais Mwinyi - Zaidi ya Mke Mmoja
Rais Mkapa - Mke mmoja
Rais Kikwete - Mke mmoja + Wazazi wenza
Rais Magufuli - Mke mmoja + Wazazi wenza
Rais Samia - Mme mmoja + Mitala

Mafanikio hayategemei mke/mme mmoja au kutokuoa kabisa.
 
Kipimo cha akili na uwezo wa kifedha kwa Mwanaume ni namna anavyocontrol hisia zake za mapenzi.

Duniani kote mwanaume mwenye akili hapendi migogoro kwenye ndoa yake wala maisha yake.

Ndio maana hata wale waliofanikiwa kiuchumi, masadaka au siasa hawaoi kabisa au wana kuwa na mwanamke mmoja tu.

Kama wewe una mume mwenye wanawake wengi jua kabisa umeolewa na Punguani shukuru Mungu ana akili za kuvuka baarbara na vihela vya kula na kulala
Naunga mkono hoja🤝
 
Back
Top Bottom