Wanaume wenye hela na wale magenius hawaoi Mke zaidi ya Mmoja

Wanaume wenye hela na wale magenius hawaoi Mke zaidi ya Mmoja

Kipimo cha akili na uwezo wa kifedha kwa Mwanaume ni namna anavyocontrol hisia zake za mapenzi.

Duniani kote mwanaume mwenye akili hapendi migogoro kwenye ndoa yake wala maisha yake.

Ndio maana hata wale waliofanikiwa kiuchumi, masadaka au siasa hawaoi kabisa au wana kuwa na mwanamke mmoja tu.

Kama wewe una mume mwenye wanawake wengi jua kabisa umeolewa na Punguani shukuru Mungu ana akili za kuvuka baarbara na vihela vya kula na kulala
Dangote ana wangapi?
 
Hivi JF siku hizi imekuwaje? Yaani mtu anabandika tu post. Hakuna reference, hakuna ushahidi wa mtu au kitu, lakini post inabandikwa tu. Halafu eti ni great thinker! Ahahahahaha!!
Halafu mwenyewe amejitutumua kujiona kichwa kwelikweli kumbe kaandika utopolo tu.
Watu waliosoma na wenye pesa pia wanatamani kuwa na wake wengi ila sababu inayowafanya washindwe ni kukosa muda kutokana na ubize wa majukumu yao au biashara zao.
Lakini ikumbukwe hao wenye pesa wanapokuwa kwenye ziara zao za kikazi au safari zao za kibiashara pia huwa wanacheat hukohuko kimyakimya.
Wewe hujiulizo wale Madadapoa huwa wanafuata nini kule Dodoma Makao Makuu
 
Wanapiga sana mzizi, kazi ya kwanza na mwanaume ni kulamba na kuhudumia wanawake tangu enzi na enzi!
 
Rais Nyerere - Mke mmoja
Rais Mwinyi - Zaidi ya Mke Mmoja
Rais Mkapa - Mke mmoja
Rais Kikwete - Mke mmoja + Wazazi wenza
Rais Magufuli - Mke mmoja + Wazazi wenza
Rais Samia - Mme mmoja + Mitala

Mafanikio hayategemei mke/mme mmoja au kutokuoa kabisa.
Ni huzuni
 
Sina uhakika na utafiti wako, ila ki ukweli kumiliki mwanamke zaidi ya mmoja ni chaos.

Itakulazimu upoteze muda mwingi sana kuwafurahisha (kuwapigia simu, kuwaridhisha kimapenzi, kuwashauri, kuhakikisha shida zao zinatatulika, kupiga nao story, at the same time kuhakikisha siri haivuji)

Hiyo ni kazi kubwa sana sana ambayo inaweza kukukosesha muda wa kufanya mambo ya msingi kukuongezea kipato chako
Ni kweli unasemalo lakini kiukweli kuushinda huu mtihani ni ngumu mno!!!
 
Kutokana na Hoja zako,
Asilimia kubwa ya Waislamu hawana Pesa wala Akili.
Suleiman hana akili wa Fedha.
Mababu zetu hawakuwa na akili wala Fedha.

Dogo,
Hizi post mnazookota mitandaoni zisiwaingize mkenge, hutaki kukosolewa mnukuu muhusika!
 
Back
Top Bottom