Wanaume wenye hela na wale magenius hawaoi Mke zaidi ya Mmoja

Dangote ana wangapi?
 
Hivi JF siku hizi imekuwaje? Yaani mtu anabandika tu post. Hakuna reference, hakuna ushahidi wa mtu au kitu, lakini post inabandikwa tu. Halafu eti ni great thinker! Ahahahahaha!!
Halafu mwenyewe amejitutumua kujiona kichwa kwelikweli kumbe kaandika utopolo tu.
Watu waliosoma na wenye pesa pia wanatamani kuwa na wake wengi ila sababu inayowafanya washindwe ni kukosa muda kutokana na ubize wa majukumu yao au biashara zao.
Lakini ikumbukwe hao wenye pesa wanapokuwa kwenye ziara zao za kikazi au safari zao za kibiashara pia huwa wanacheat hukohuko kimyakimya.
Wewe hujiulizo wale Madadapoa huwa wanafuata nini kule Dodoma Makao Makuu
 

Wanapiga sana mzizi, kazi ya kwanza na mwanaume ni kulamba na kuhudumia wanawake tangu enzi na enzi!
 
Rais Nyerere - Mke mmoja
Rais Mwinyi - Zaidi ya Mke Mmoja
Rais Mkapa - Mke mmoja
Rais Kikwete - Mke mmoja + Wazazi wenza
Rais Magufuli - Mke mmoja + Wazazi wenza
Rais Samia - Mme mmoja + Mitala

Mafanikio hayategemei mke/mme mmoja au kutokuoa kabisa.
Ni huzuni
 
Ni kweli unasemalo lakini kiukweli kuushinda huu mtihani ni ngumu mno!!!
 
Kutokana na Hoja zako,
Asilimia kubwa ya Waislamu hawana Pesa wala Akili.
Suleiman hana akili wa Fedha.
Mababu zetu hawakuwa na akili wala Fedha.

Dogo,
Hizi post mnazookota mitandaoni zisiwaingize mkenge, hutaki kukosolewa mnukuu muhusika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…