Wanaume wenye sauti zenye "base" la kutetemesha wameishia wapi?

Zurie

Platinum Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
2,089
Reaction score
5,966
Wakuu,

Sauti nzito zimekuwa adimu sana. Yaani wakaka tunashare nao tu frequency za sauti. Akiongea George kama kaongea Zurie na vice versa is true.

Mwanaume anakwambia kitu hata hakiingii saaana maana sauti haina authority. Ndio maana kutwa malalamiko kuwa hamsikilizwi. Hata kwenye movie za Yesu, igizo la sauti kutoka Mbinguni kwa "Baba" ni nzito, inatetemesha. Kuna sauti mwanaume anaongea hadi vinyweleo vinasimama.

Kwanza nimegundua Adam's Apple yenyewe tangu 2026 ianze sijakutana nayo.

Huyu author aliongelea kupotea kwa Adam's apple pia >>
View: https://medium.com/@randolphe_/the-disappearing-adams-apple-a-warning-sign-of-a-declining-masculinity-08ed47767e72

Jamani bros, tunataka base, sauti nyororo zimekuwa nyingi sana.
 

Cheki na Dudubaya
 
Kwamba tumebadilishana au?

Ila hii imeniuma maana sauti nimerithi kwa baba😀
Unaona sasa unataka mwanaume mwenye sauti nzito kumbe unayo, siku hizi wanawake wana sauti nzito sana sijui nini kimetokea unakuta anaunguruma ndani utasema baba mwenye nyumba yupo
 
Madogo asaivi wanazingua...Dogo ana lamba mdomo na kumung'unya maneno kama Omary Kop.
Any way shida ilianza baada ya baba Nyerere kukabidhiwa Taifa alafu akashindwa kuonesha njia za kwetu kama Tz
 

Ingawa nina sauti nzito lakini mada kama hizi zinazogusa maumbile ya asili ya watu negatively huwa siziungi mkono!

Hapa duniani tunapita tu. Dhibiti matamanio yako yasivuke mpaka!
 

Hata wanawake/wasichana siku hizi wakikojoa ardhini hawachimbi vishimo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…