Wanaume wenye sauti zenye "base" la kutetemesha wameishia wapi?

Wakuu,

Sauti nzito zimekuwa adimu sana. Yaani wakaka tunashare nao tu frequency za sauti. Akiongea George kama kaongea Zurie na vice versa is true.

Mwanaume anakwambia kitu hata hakiingii saaana maana sauti haina authority. Ndio maana kutwa malalamiko kuwa hamsikilizwi. Hata kwenye movie za Yesu, igizo la sauti kutoka Mbinguni kwa "Baba" ni nzito, inatetemesha. Kuna sauti mwanaume anaongea hadi vinyweleo vinasimama.

Kwanza nimegundua Adam's Apple yenyewe tangu 2026 ianze sijakutana nayo.

Huyu author aliongelea kupotea kwa Adam's apple pia >>
View: https://medium.com/@randolphe_/the-disappearing-adams-apple-a-warning-sign-of-a-declining-masculinity-08ed47767e72

Jamani bros, tunataka base, sauti nyororo zimekuwa nyingi sana.

Huyo George lakini asiwe Bantu.
 
Sauti nzito zimekuwa adimu sana. Yaani wakaka tunashare nao tu frequency za sauti. Akiongea George kama kaongea Zurie na vice versa is true
Mtumeeeee🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom