cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
😂😂😂Na wanawake wenye zile sauti nyororo za kumtoa nyoka pangoni hazipo, sasa hivi lisauti linatoka nyoka mwenyewe anatafuta chocho ya kujificha humo shimoni
😂😂😂Na wanawake wenye zile sauti nyororo za kumtoa nyoka pangoni hazipo, sasa hivi lisauti linatoka nyoka mwenyewe anatafuta chocho ya kujificha humo shimoni
Hatarii sana, 😂😂😂Wanaume wanashindana kufanana na wanawake sio sauti tuu mpaka kujiremba yani na wao wana fanya skin care
Hatari sana
Tatizo mmetufanya tunapambana sana siku hizi. Haiba ya kike inaflourish kwenye utulivu Mkuu. Mtu umetoka ofisini kufoka au umetoka kukimbizana na deadline haiba ya kike unaitoa wapi?Ni nyie sikuhizi hamna tena hulka ya kutetemeka hata akiongea jini, Haiba ya kikenayo imewaondoka wengi wenu ati, mnapenda mwonekane Wanaume ujue.