SMART PASSENGER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 1,355
- 2,117
Sauti inamchanganya Sana 😂😂😂Sauti nzito zimekuwa adimu sana. Yaani wakaka tunashare nao tu frequency za sauti. Akiongea George kama kaongea Zurie na vice versa is true
Mtumeeeee🤣🤣🤣🤣🤣
Sauti inamchanganya Sana 😂😂😂Sauti nzito zimekuwa adimu sana. Yaani wakaka tunashare nao tu frequency za sauti. Akiongea George kama kaongea Zurie na vice versa is true
Mtumeeeee🤣🤣🤣🤣🤣
Tupo hapaNa wanawake wenye base tuwaweke, kundi gani
Mkiimba baadhi yenu mnavuta hisia za wasikilizaji 😌Tupo hapa
Kuna namna unajisikia uko na ulinzi 😜Baelezee
Kwamba misuli ya kusukuma mkojo imelegea?Hata wanawake/wasichana siku hizi wakikojoa ardhini hawachimbi vishimo.
Mabadiliko ya tabia nchiKwamba misuli ya kusukuma mkojo imelegea?
Mamba KONK master..you punch me once i punch you tripple..Cheki na Dudubaya
Wakuu,
Sauti nzito zimekuwa adimu sana. Yaani wakaka tunashare nao tu frequency za sauti. Akiongea George kama kaongea Zurie na vice versa is true.
Mwanaume anakwambia kitu hata hakiingii saaana maana sauti haina authority. Ndio maana kutwa malalamiko kuwa hamsikilizwi. Hata kwenye movie za Yesu, igizo la sauti kutoka Mbinguni kwa "Baba" ni nzito, inatetemesha. Kuna sauti mwanaume anaongea hadi vinyweleo vinasimama.
Kwanza nimegundua Adam's Apple yenyewe tangu 2026 ianze sijakutana nayo.
Huyu author aliongelea kupotea kwa Adam's apple pia >>
View: https://medium.com/@randolphe_/the-disappearing-adams-apple-a-warning-sign-of-a-declining-masculinity-08ed47767e72
Jamani bros, tunataka base, sauti nyororo zimekuwa nyingi sana.