Wanaume wenye sauti zenye "base" la kutetemesha wameishia wapi?

MASCULINITY imepotea siku hizi..... kukithiri kwa vitendo vya kishoga, UCHAWA na matendo mengine mengi yanayowaweka mbali vijana wa kiume kwenye uanamume vimechangia pakubwa hali hii......
 
Wapo wengi, hasa makanisa ya pentekoste yaani wanamkemea shetani mpaka anakimbia.
 

Ni nyie sikuhizi hamna tena hulka ya kutetemeka hata akiongea jini, Haiba ya kikenayo imewaondoka wengi wenu ati, mnapenda mwonekane Wanaume ujue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…