Wanaume wenye sauti zenye "base" la kutetemesha wameishia wapi?

Na wanawake wenye zile sauti nyororo za kumtoa nyoka pangoni hazipo, sasa hivi lisauti linatoka nyoka mwenyewe anatafuta chocho ya kujificha humo shimoni
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni nyie sikuhizi hamna tena hulka ya kutetemeka hata akiongea jini, Haiba ya kikenayo imewaondoka wengi wenu ati, mnapenda mwonekane Wanaume ujue.
Tatizo mmetufanya tunapambana sana siku hizi. Haiba ya kike inaflourish kwenye utulivu Mkuu. Mtu umetoka ofisini kufoka au umetoka kukimbizana na deadline haiba ya kike unaitoa wapi?

Haiba ya kike na stress mbalimbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…