Wanaume wenye tabia ya kuingilia maugomvi ya wanawake zenu kwa kuwasaidia "kusutana" mnakera

Wanaume wenye tabia ya kuingilia maugomvi ya wanawake zenu kwa kuwasaidia "kusutana" mnakera

🥰🥰🥰🥰 Nisaidie mwayego Kantry wa kwangu mimi peke yangu😜
Kwenye jambo lolote siwezi kubali nikuache nyuma
"Genesis 2:24 says that a man shall leave his father and his mother, and be joined to his wife and they shall become one flesh"
 
Shem kama shem!tena ni kuwafunga bila file kabisa wanaochezea laaziz wako🤣🤣🤣@lamomy kama nakuona unavyoturingia
🤣🤣🤣🤣 Kwanza ulifichwa wapi?
Sijakuona kijiwe nongwa km siku 3 hivi,
Kantry akiniacha nitakufa dada!!! Mtanikosa ndugu yenu!! Haya mapenzi mwambieni apunguze naenda kuchanganyikiwa mie 🤣
 
Kwenye jambo lolote siwezi kubali nikuache nyuma
"Genesis 2:24 says that a man shall leave his father and his mother, and be joined to his wife and they shall become one flesh"
Oyooooo!! Wambea mmesikia?!
Sisi mwili mmoja mtuache hata vitabu vya Mungu vinasema hivo 🥰🥰🥰
 
🤣🤣🤣🤣 Kwanza ulifichwa wapi?
Sijakuona kijiwe nongwa km siku 3 hivi,
Kantry akiniacha nitakufa dada!!! Mtanikosa ndugu yenu!! Haya mapenzi mwambieni apunguze naenda kuchanganyikiwa mie 🤣

Pure love! 👍👍👍
Huyo ni zaidi ya mtu, natamani ule uhalisia wake kwenye real life ndio angekua ana-apply na huku.

She is a superwoman 💪
 
🤣🤣🤣🤣 Kwanza ulifichwa wapi?
Sijakuona kijiwe nongwa km siku 3 hivi,
Kantry akiniacha nitakufa dada!!! Mtanikosa ndugu yenu!! Haya mapenzi mwambieni apunguze naenda kuchanganyikiwa mie 🤣
Nilifichwa Kizimkazi!🤣🤣🤣🤣
Angalia ukikaa kizembe nyakunyaku wanapita nae huyo🤣🤣🤣maana si Kwa mahaba hayo unayopewa
 
Huku Vichaa wengi,inabidi kwenda nao hivyo hivyo kiuchaa kichaaa....Wewe endelea kuinjoi na baby wako kwenye real life!
Wewe ndio unaniponzaga nikikausha utanitag mpk nikome 😂😂😂
Mara uniambie kunguru hafuguki, utanichonoa mpk nikujibu 😂😂
 
Na Kantry hapendi ninavyojichetua humu wakati nje ananiona mtu tofauti kabisaaa!! 🤣🤣🤣🤣
Kuna muda anatamani achume fimbo anicharaze
Hamna,hiyo ndio akili....Mimi Kuna mjf nilonana nae Kwa masuala Fulani ya kijamii nikakaa nae akasema ur different kabisa na JF🤣🤣🤣🤣
 
Wewe ndio unaniponzaga nikikausha utanitag mpk nikome 😂😂😂
Mara uniambie kunguru hafuguki, utanichonoa mpk nikujibu 😂😂
🤣🤣🤣🤣Kweli ukiuchunaa huwa unaniudhi sana halafu ulivyo mshenzy unalike tu naona yaani kasoma halafu hajinijibu,Sasa hapo naanza kukupa maneno ya karaha Hadi usemeeee
 
Nilifichwa Kizimkazi!🤣🤣🤣🤣
Angalia ukikaa kizembe nyakunyaku wanapita nae huyo🤣🤣🤣maana si Kwa mahaba hayo unayopewa
Hata kuniita? Nikajua umetoka trip ya kupanda vilima vya choma 😂😂😂
Atakayeninyakulia namroga wasinichezee na bae wangu
 
Kantry wangu unanipenda sana’a mwenyewe najua hilo, nimeona kuna sehemu umenimind kinoma naomba nisamehe 😔😔😔
Halafu njoo chemba tuyaongee
😂😂😂Sasa mbona umejibia huku jf? Mpaka joannah ajue😂😂😂
 
Hamna,hiyo ndio akili....Mimi Kuna mjf nilonana nae Kwa masuala Fulani ya kijamii nikakaa nae akasema ur different kabisa na JF🤣🤣🤣🤣
Yani mimi niko tofauti na huku, kwanza ukiniona unakataa!!! 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom