Wanaume wenye watoto wa kike, utajisikiaje ama ulijisikiaje siku binti yako anaolewa?

Wanaume wenye watoto wa kike, utajisikiaje ama ulijisikiaje siku binti yako anaolewa?

Hi guys,

Hope mpo sawa,

Nimefikiria hili jambo baada ya juzi kuwa kwenye shughuli flani ya send-off ya rafiki yangu, na kumuona baba yake mzazi akilia machozi yaani ile lia huku anajikaza na kuficha, wakati Mama yake alikuwa tu sawa usoni, ya moyoni siyajui!

Nilizoea kuona wamama ndiyo huwa wanalia zaidi, Kulia Baba kulinifanya nijiulize ni machozi ya furaha, au ni kawa tu emotional? Ama kuna kitu anafikiria kuhusu bintiye, sikupata jibu na sikuweza uliza yoyote ila kiukweli ile hali ilinifanya nijiskie vibaya,

Nikafikiria kuhusu yule mzee wangu, jinsi anavyonijali na kunipenda vile na yeye atajiskiaje siku akijua officially ndiyo naondoka mikononi mwake, atajiskia vibaya kwamba sasa binti yake unaenda chini ya uangalizi wa mwanaume mwingine tofauti na yeye.!? Or will he be proud of himself for raising Me well.??

Eti wanaume, utajiskiaje huyo bintiyo kwa jinsi unavyompenda hivyo, ikafika siku ndiyo anaenda officially kwenye usimamizi wa mwanaume mwingine tofauti na wewe?? Mwanaume usiyemjua tabia zake, hujui kama atampenda kweli na kumjali kama unavyofanya wewe, utakuwa na amani kweli?? Ama kwa wale tayari wako na experience ulijiskiaje siku ulipoozesha binti yako.!? am just being curious honestly..!
Kuwa emotional ni kawaida nimeona na kusikia wazazi wakilia kwenye harusi za binti zao labda kuwaza so jamaa atakuwa anamfilimba binti yake same na yeye alivyomfilimba mamake....anasahau dogo alishafumuliwa bikra akiwa form 2 labda maana pale umri ndio umetaradadi au house girl na mama mdogo washakatia madole ya haja nikataaram sasa.
 
Niliwahi kuambiwa kuwa Wazee wa Kichaga miaka ya nyuma walikua hawahudhurii kwenye sherehe za harusi za mabinti zao. Tena sio kwenye kupokea mahari wala siku anaolewa na kuondoka kabisa hapo nyumbani

Kikubwa walikua wanaona kama ni kitendo cha aibu na fedheha kwa baba mtu mzima anajua kabisaa bint yake anakwenda kufanywa nini halafu eti yeye asherehekee😀😀😀

Nadhani walipogundua kua mwanamke kaumbwa kwa ajili ya hiyo shughuli na wala sio tusi wakaanza kuhudhuria kwenye sherehe za ndoa za binti zao😀😀😀
Baba yangu asipokuwepo kwenye shughuli yangu nitalia mpaka wamlete walaqhi'..!!

Niliwahi lia kama nipo msibani kisa sikumuona Mama kwenye graduation yangu, kumbe alifika kwa kuchelewa..!!

Nikikumbuka huwa nacheka nilivyokuwa phaller...!
 
Ni Jambo gumu Sana Sana Sana! Ndo maana Ni vyema Sana kuwa Makini!

Namjali Sana binti yangu, Na ndoa zimekua ngumu Sana, Kwa kweli Ni karata ngumu Sana anapoolewa.

Wakati mwingine wazazi hawakurizika; Ni changamoto! Kwa hiyo Ni muhimu Sana both parents Na binti wajitahidi kukubaliana Kwa busara Kwenye uchaguzi!

Wakati mwingin tunawaona wazee Ni conservatives, Ila nakushauri wasikilize Kama kweli walikupenda na kukulea Kwa dhati

Kosa kubwa Ni mabinti kuwa karibu Na Mama Zao wakati wa kuolewa; Baba Ni mwanaume, anajua wanaume, kuwa karibu naye!

Mzazi wa kiume atakuwa amefanikiwa Sana Sana Sana Kama atamfanya mtoto wake wa kike awe huru kujadili Haya mambo.

Wakati binti yangu anakuwa, Mwenye miaka 9 Hivi kila akibambia taarifa Za Vijana watukutu namfurahia Sana, that build good relationship.
Hongera kwa malezi mkuu..! Nashukuru Baba yangu huwa ni muwazi mno na huwa tunazungumzia masuala kama haya, anakiri kabisa suala langu linampa hofu anawaza nani ataweza ni handle vile niko so emotional..!!
 
Siku Dada yangu anaolewa, nilikuwa pembeni ya mzee wangu, nilimshuhudia akishusha chozi, ile moment inakuwa intense sana kwake kama mzazi. Wengine wanalia kwa furaha na kujivunia kumlea binti yao mpaka amekuwa binti mkubwa, na sasa anaolewa.
Jamani,
Na ulijiskiaje kumuona baba yako analia public.? Hukujiskia vibaya??
 
Ilo ni jambo jema sana mkuu! Kwa sisi tunaolea watoto wa kike tunajua changamoto yakulea Wikike na pia dunia ipo vbaya sana now days mkuu!!!

Binti Kufika iyo hatua ni jambo la kumshukuru Mungu kakuheshimisha maana unafikiri ingekuwaje labda akakatisha Masomo yake kwkupewa mimba??

binafsi huwa natafakari sana aisee, na manyang’au yapo nje yanasubiri mtoto akue wapite nae.... uyo mzazi analia kwamba nimekuvusha salama mwanangu na leo nashuhudia ndoa takatifu, binafsi ikifika hiyo hatua nikamuozesha lazima nitoe sadaka kubwa kwa Mungu,
Kulea watoto siku izi sio mchezo ukijichanganya tu kaharabikiwa na linakuwa zigo lako
Ameen..! Na Mungu akakupe haja ya moyo wako, nimependa mno positivity yako..!!
 
Hongera kwa malezi mkuu..! Nashukuru Baba yangu huwa ni muwazi mno na huwa tunazungumzia masuala kama haya, anakiri kabisa suala langu linampa hofu anawaza nani ataweza ni handle vile niko so emotional..!!

And to make it worse! Picha ya treatment Na expectations Za Mume za toka Kwa Baba!

Very challenging! Ni maombi yangu Mungu akuongoze Na kukupa Hekima!
 
Nikafikiria kuhusu yule mzee wangu, jinsi anavyonijali na kunipenda vile na yeye atajiskiaje siku akijua officially ndiyo naondoka mikononi mwake, atajiskia vibaya kwamba sasa binti yake unaenda chini ya uangalizi wa mwanaume mwingine tofauti na yeye.!? Or will he be proud of himself for raising Me well.??

nimequote hicho kipande
kukupa USIA
ili usimuumize mzee wako kihisia na aendelee kuwa na FURAHA juu ya wewe bintiye pindi utakapokua umeolewa
jitahidi saaaaana umpate MUME BORA mwenye hofu ya ubinadamu ndani yake na HEKIMA
ili awe baba bora kwa mwanao km wewe ulivyopata BABA BORA aliekulea vema
usifate nyingi nasaba angalia furaha ya moyo wako ambayo ni familia yako

nakuombea HERI nyingi katika hilo
 
Kumbe lile tukio hua linaamsha hisia za furaha na huzuni pia kwa watu!!!![emoji23]Carleen bora umeleta hii nyuzi sikuwahi kujua kabisaaaaaa,

Naendelee kusoma comments .
 
Hi guys,

Hope mpo sawa,

Nimefikiria hili jambo baada ya juzi kuwa kwenye shughuli flani ya send-off ya rafiki yangu, na kumuona baba yake mzazi akilia machozi yaani ile lia huku anajikaza na kuficha, wakati Mama yake alikuwa tu sawa usoni, ya moyoni siyajui!

Nilizoea kuona wamama ndiyo huwa wanalia zaidi, Kulia Baba kulinifanya nijiulize ni machozi ya furaha, au ni kawa tu emotional? Ama kuna kitu anafikiria kuhusu bintiye, sikupata jibu na sikuweza uliza yoyote ila kiukweli ile hali ilinifanya nijiskie vibaya,

Nikafikiria kuhusu yule mzee wangu, jinsi anavyonijali na kunipenda vile na yeye atajiskiaje siku akijua officially ndiyo naondoka mikononi mwake, atajiskia vibaya kwamba sasa binti yake unaenda chini ya uangalizi wa mwanaume mwingine tofauti na yeye.!? Or will he be proud of himself for raising Me well.??

Eti wanaume, utajiskiaje huyo bintiyo kwa jinsi unavyompenda hivyo, ikafika siku ndiyo anaenda officially kwenye usimamizi wa mwanaume mwingine tofauti na wewe?? Mwanaume usiyemjua tabia zake, hujui kama atampenda kweli na kumjali kama unavyofanya wewe, utakuwa na amani kweli?? Ama kwa wale tayari wako na experience ulijiskiaje siku ulipoozesha binti yako.!? am just being curious honestly..!
Dawa hapa ni ya kumsomesha na kumuwezesha aishi huru
 
And to make it worse! Picha ya treatment Na expectations Za Mume za toka Kwa Baba!

Very challenging! Ni maombi yangu Mungu akuongoze Na kukupa Hekima!
Shukrani sana na Mungu anisaidie hakika, maana hawa vijana wa sasa ni very challenging kiukweli..!!
 
Kwa upande wangu sikujisikia vibaya, kwa sababu watu hulia katika mtukio makubwa, ndoa na misiba.
Lakini nilipata moyo wa kuwa Baba bora kama mzee wangu maana amepitia mengi sana na bado upendo wake haukubadilika kwetu.
My hat off to your daddy,
Na uige mfano wake pia kwa kuwa Baba bora kwa wanao pia.!!
 
Back
Top Bottom