Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 7,982
- 27,272
- Thread starter
- #41
Jèsus..!!.nimequote hicho kipande
kukupa USIA
ili usimuumize mzee wako kihisia na aendelee kuwa na FURAHA juu ya wewe bintiye pindi utakapokua umeolewa
jitahidi saaaaana umpate MUME BORA mwenye hofu ya ubinadamu ndani yake na HEKIMA
ili awe baba bora kwa mwanao km wewe ulivyopata BABA BORA aliekulea vema
usifate nyingi nasaba angalia furaha ya moyo wako ambayo ni familia yako
nakuombea HERI nyingi katika hilo
Shukrani sana sana Mkuu na A huge Amen to that, umenigusa kipekee sana kiukweli..! Ninaomba hivyo sana pia, Mungu anipatie mtu sahihi, aliyetoka kwake..!!
Barikiwa mno..!!