Wanaume wenye watoto wa kike, utajisikiaje ama ulijisikiaje siku binti yako anaolewa?

Kuwa emotional ni kawaida nimeona na kusikia wazazi wakilia kwenye harusi za binti zao labda kuwaza so jamaa atakuwa anamfilimba binti yake same na yeye alivyomfilimba mamake....anasahau dogo alishafumuliwa bikra akiwa form 2 labda maana pale umri ndio umetaradadi au house girl na mama mdogo washakatia madole ya haja nikataaram sasa.
 
Baba yangu asipokuwepo kwenye shughuli yangu nitalia mpaka wamlete walaqhi'..!!

Niliwahi lia kama nipo msibani kisa sikumuona Mama kwenye graduation yangu, kumbe alifika kwa kuchelewa..!!

Nikikumbuka huwa nacheka nilivyokuwa phaller...!
 
Hongera kwa malezi mkuu..! Nashukuru Baba yangu huwa ni muwazi mno na huwa tunazungumzia masuala kama haya, anakiri kabisa suala langu linampa hofu anawaza nani ataweza ni handle vile niko so emotional..!!
 
Siku Dada yangu anaolewa, nilikuwa pembeni ya mzee wangu, nilimshuhudia akishusha chozi, ile moment inakuwa intense sana kwake kama mzazi. Wengine wanalia kwa furaha na kujivunia kumlea binti yao mpaka amekuwa binti mkubwa, na sasa anaolewa.
Jamani,
Na ulijiskiaje kumuona baba yako analia public.? Hukujiskia vibaya??
 
Ameen..! Na Mungu akakupe haja ya moyo wako, nimependa mno positivity yako..!!
 
Hongera kwa malezi mkuu..! Nashukuru Baba yangu huwa ni muwazi mno na huwa tunazungumzia masuala kama haya, anakiri kabisa suala langu linampa hofu anawaza nani ataweza ni handle vile niko so emotional..!!

And to make it worse! Picha ya treatment Na expectations Za Mume za toka Kwa Baba!

Very challenging! Ni maombi yangu Mungu akuongoze Na kukupa Hekima!
 

nimequote hicho kipande
kukupa USIA
ili usimuumize mzee wako kihisia na aendelee kuwa na FURAHA juu ya wewe bintiye pindi utakapokua umeolewa
jitahidi saaaaana umpate MUME BORA mwenye hofu ya ubinadamu ndani yake na HEKIMA
ili awe baba bora kwa mwanao km wewe ulivyopata BABA BORA aliekulea vema
usifate nyingi nasaba angalia furaha ya moyo wako ambayo ni familia yako

nakuombea HERI nyingi katika hilo
 
Kumbe lile tukio hua linaamsha hisia za furaha na huzuni pia kwa watu!!!![emoji23]Carleen bora umeleta hii nyuzi sikuwahi kujua kabisaaaaaa,

Naendelee kusoma comments .
 
Dawa hapa ni ya kumsomesha na kumuwezesha aishi huru
 
And to make it worse! Picha ya treatment Na expectations Za Mume za toka Kwa Baba!

Very challenging! Ni maombi yangu Mungu akuongoze Na kukupa Hekima!
Shukrani sana na Mungu anisaidie hakika, maana hawa vijana wa sasa ni very challenging kiukweli..!!
 
Kwa upande wangu sikujisikia vibaya, kwa sababu watu hulia katika mtukio makubwa, ndoa na misiba.
Lakini nilipata moyo wa kuwa Baba bora kama mzee wangu maana amepitia mengi sana na bado upendo wake haukubadilika kwetu.
My hat off to your daddy,
Na uige mfano wake pia kwa kuwa Baba bora kwa wanao pia.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…