Wanaume wenye watoto wa kike, utajisikiaje ama ulijisikiaje siku binti yako anaolewa?

Hahahaha
 
Wanaume wahuni wahuni ndio huwa vichwa vinauma binti yao akiolewa au akiwa kwenye mahusiano
Wanadhani yale wanayowafanyia binti za watu ndio mtt wao anaenda kufanyiwa hivyo pia
 
Alimradi chumba chake kipo yakimshinda arudi tu
 
Hahaha daah akili zenu mwazijua wenyewe
 
Alimradi chumba chake kipo yakimshinda arudi tu
 
Samahani Patra, sifa kama zipi mfano.??
Siwez toka na wanawake zaid ya mmoja kwa wakati mmoja. Huwa nikipenda mtu ni had aniache ndio nijue kutafta mwingne.

Sipendi ugomvi na kubishana yan nipo tayar kukupa ushindi ili tu usinipigie kelele(hii sio kwamba kesi imeisha ipo siku nitakukumbusha ukiwa umetulia tuyamalize)

Ukimya. Hii ata yeye anayo(sio tabia nzuri mda mwingne) ila inaepusha mengi.

Uvumilivu.
Kupenda kujitenga. Kuna mda naona raha kukaa peke angu (ama na mtu mmoja ninae muelewa ata kama sina cha kumwambia ilimladi nimuone tu) kuliko kukaa na kwenye kundi la watu.
 
Ni furaha sana kwa mzazi kimuozesha mwanae,ni heshima pia unapata.
Ni wajibu pia kama asili ya dunia ilivyo kuoana.
Kama mimi vile nilivyo kabidhiwa binti wa watu kwa imani kubwa nami hakika nitakua na imani kubwa kwa atakae muoa binti yangu.
 
Nitaliaa maana najua anakwenda mikononi mwa watu MAKATILI.
 
Bond baina ya baba na binti yake ni hatari sana hadi mama huwa na wivu kwa bintiye.
Hivi ni nini huwa wababa wanatupenda mabinti zao hivyo?? Hata uwe mkubwa..!!
 
Ni furaha sana kwa mzazi kimuozesha mwanae,ni heshima pia unapata.
Ni wajibu pia kama asili ya dunia ilivyo kuoana.
Kama mimi vile nilivyo kabidhiwa binti wa watu kwa imani kubwa nami hakika nitakua na imani kubwa kwa atakae muoa binti yangu.
Mungu akusaidie ukawe Baba mwema na mume mwema pia...!!
 
Una dalili za introvert, mie nachoshukuru tu ni hapo pa kuwa na mwanamke mmoja, ubarikiwe walaqhi'..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…