Wanaume wenzagu wa Musoma, jifunzeni kula vizuri basi! Mnatia aibu

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Traditionally chakula huwa tunakula pamoja it means kwamba msosi unawekwa kati mnakula wote sasa watu wanakula vibaya sana yaani ukichukua nyama na yeye anachukua anatafuna vibaya then anarudia nyingine kama mashindano fulani ivi, aisee mjilekebishe ulaji wenu sio mzuri kama mnakimbizwa kupanua midomo hovyo .

Yaani mtu anajilambalamba then anaingiza mikono kwenye bakuli la mboga asee
Kusema kweli nilishindwa kula kbs, nyie mnaishi vipi na watu kama hawa ambao wanakula vibaya (bad eating manner)
 
Ngoja waje kukujibu
 
Mimi wananiachaga hoi. Licha ya kusifwa kwa ubabe, maguvu na kufokafoka wamebaki kuuza mayai kitunda.
 
Me naona ni sawa tu ule ugari wao mwekundu mtamu sana
 
Kwetu kula ugali siyo tatizo, shida kupikwe makande. mtu anajilamba then anakuja kuparua sehemu yako kwa juu. huu upimbi ulifanya niwe nakula kipanya panya, yaani nakula kwa kuchimba kitobo, pango au handaki kwa chini kuepuka udenda huko juu wafakamie wenyewe.
 
1. Wenzako wanawaza jinsi ya kula bil 200 ya mh rais in proper manner we unatuletea mambo ya kipwani hapa, muraa khana notomerewe?

2. Halafu ulifuata nn kwa wanaume mchabhani wakati wewe hata mwandiko unaonekana ni wa abhakari?

3. Halafu utighe obhokhangi ole muchabhani wanghe ghotoretela obhosaghane hano!
 
Mleta mada hakupata nyama nyingi na kakasurika sana ndiyo maana amekuja kulalamika humu.

Haya KERATO MOMBAA njoo bhana.
Mr. Nyeto
Huyu alikuwa na ujinga wake, alidhani kwamba ana akili kuwazidi wenyeji kumbe wameisha mumanya mapemaa, wakaamua kumfanyia makusudi

mr nyeto, huyo kama ni mwanaume inaonekana kuna kabinti alikatole macho halafu rada zikamnasa, sasa hyo ndo unaitwa "kula na wewe sahani moja" pale unapoleta ujinga.
 
Mimi wananiachaga hoi. Licha ya kusifwa kwa ubabe, maguvu na kufokafoka wamebaki kuuza mayai kitunda.
Ile ni biashara kama biashara zingne, sisi si wadengereko wa kuuza vimnofu vya pweza..

Sisi tukienda miji ya watu huwa tunachagua amani zaidi

Hata kama upo kwenu wafanyie za kuleta uone cha peps big
 
Mr. Nyeto
Huyu alikuwa na ujinga wake, alidhani kwamba ana akili kuwazidi wenyeji kumbe wameisha mumanya mapemaa, wakaamua kumfanyia makusudi

mr nyeto, huyo kama ni mwanaume inaonekana kuna kabinti alikatole macho halafu rada zikamnasa, sasa hyo ndo unaitwa "kula na wewe sahani moja" pale unapoleta ujinga.
Wanaume wamemuonesha vile ambavyo chakula (nyama ) huliwa. Nadhani akipata wasaa mwingine wa kula nao atachangamka.

VITA NI VITA MURAA!
 
Back
Top Bottom