mhuri25
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 3,736
- 5,374
Ulikuwa na mti wa kushikilia Toilet!?Me naona ni sawa tu ule ugari wao mwekundu mtamu sana
Ulikuwa na mti wa kushikilia Toilet!?Me naona ni sawa tu ule ugari wao mwekundu mtamu sana
Mbona sikupata costipation hataUlikuwa na mti wa kushikilia Toilet!?
Ukitoa kiporo cha waliWanaume wamemuonesha vile ambavyo chakula (nyama ) huliwa. Nadhani akipata wasaa mwingine wa kula nao atachangamka.
VITA NI VITA MURAA!
Au sio kuna siki utatokwa machozi kabisaMbona sikupata costipation hata
Kwenye swala la kwenda msalani mnaongoza yaani kila muda ivi shida nini??hahahahaMr. Nyeto
Huyu alikuwa na ujinga wake, alidhani kwamba ana akili kuwazidi wenyeji kumbe wameisha mumanya mapemaa, wakaamua kumfanyia makusudi
mr nyeto, huyo kama ni mwanaume inaonekana kuna kabinti alikatole macho halafu rada zikamnasa, sasa hyo ndo unaitwa "kula na wewe sahani moja" pale unapoleta ujinga.
Mimi wananiachaga hoi. Licha ya kusifwa kwa ubabe, maguvu na kufokafoka wamebaki kuuza mayai kitunda.
Mwamba alifikiri kisa yupo msibani ustaarabu utazingatiwa, kumbe watu hawana habari wanawaza na bia za siku ya kumaliza arobani zitakuwa nyingi au veep!Mleta mada hakupata nyama nyingi na kakasurika sana ndiyo maana amekuja kulalamika humu.
Haya KERATO MOMBAA njoo bhana.
1. Kwanza tunakula sanaKwenye swala la kwenda msalani mnaongoza yaani kila muda ivi shida nini??hahahaha
Kijiti kina kazi gani chooni?Usisahau kwenda na kijiti chooni.
Kweli kwenye swala la ulafi mnaongoza, nimeshuhudi watu wanakaribishwa chakula wanaenda wanakimbia kabisa asee jmn nyie basi hahahaha1. Kwanza tunakula sana
-kumbuka uwezo wa mtu kula hutokana na jinsi anavyotafuta hcho chakula
2. Pamoja na kula sana, utumbo wetu upo imara na digestion inafanya kazi vizuri sana.
3. Sasa mtu huku mikoani unashindia chips na tumishikaki tumoja, huko chooni utaenda kunyia nn au hewa?
Akikaa kule Mara wiki mmoja tu tayari anakuwa mwamba kweli kweli.Ukitoa kiporo cha wali
Hakuna kiporo kingne tunachobakiza, yeye alitaka wale kama sakrament, nyama nyngne ibaki halafu waanze kuhadithiana..sisi hatuko hvo
Jamaa kisa katoka Dar akadhani miambia itamuheshimu na kula Chakula kwa maringo kumsubiria yeye.Mwamba alifikiri kisa yupo msibani ustaarabu utazingatiwa, kumbe watu hawana habari wanawaza na bia za siku ya kumaliza arobani zitakuwa nyingi au veep!
Amekwama parefu sana kwa kweli aiseeeeee.Jamaa kisa katoka Dar akadhani miambia itamuheshimu na kula Chakula kwa maringo kumsubiria yeye.
Wakichukua panga nawe chukua.Panga unazijua wewe??
Tumwombee kwa mola.Amekwama parefu sana kwa kweli aiseeeeee.
Ameen.Tumwombee kwa mola.