Wanaume wenzagu wa Musoma, jifunzeni kula vizuri basi! Mnatia aibu

Wanaume wenzagu wa Musoma, jifunzeni kula vizuri basi! Mnatia aibu

Traditionally chakula huwa tunakula pamoja it means kwamba msosi unawekwa kati mnakula wote sasa watu wanakula vibaya sana yaani ukichukua nyama na yeye anachukua anatafuna vibaya then anarudia nyingine kama mashindano fulani ivi, aisee mjilekebishe ulaji wenu sio mzuri kama mnakimbizwa kupanua midomo hovyo .

Yaani mtu anajilambalamba then anaingiza mikono kwenye bakuli la mboga asee
Kusema kweli nilishindwa kula kbs, nyie mnaishi vipi na watu kama hawa ambao wanakula vibaya (bad eating manner)
Ushawahi kula na wasukuma bosi?
 
Mr. Nyeto
Huyu alikuwa na ujinga wake, alidhani kwamba ana akili kuwazidi wenyeji kumbe wameisha mumanya mapemaa, wakaamua kumfanyia makusudi

mr nyeto, huyo kama ni mwanaume inaonekana kuna kabinti alikatole macho halafu rada zikamnasa, sasa hyo ndo unaitwa "kula na wewe sahani moja" pale unapoleta ujinga.
umurisya oyo akangiha king'iti ensagane. Akaragera bhuuya inkundo egatona araringa gucha kobhatoka. Tamondetera masana hano mosare
 
Kweli kwenye swala la ulafi mnaongoza, nimeshuhudi watu wanakaribishwa chakula wanaenda wanakimbia kabisa asee jmn nyie basi hahahaha
Kwenye uchoyo hapo we ndo wa kwanza kuja na hii kauli.
Waliajiriwa mkoani mara hususani maeneo ya ukuryani hawatamani hata kutoka
-tatzo lenu mkija ukuryani mnaanza kudoea wake za watu na mabinti, (HAPO UTAIONA MARA KAMA JEHANUM NDOGO NA HAUWEZI TAMANI KUENDELEA KUISHI)
 
Ugali nyama choma + Kichuri weneyewe huwaambii kitu, ni full kujilamba
 
Acha ufala bob, ungemsema huyo uliyekula nae na si kujumuisha wanaume wote wa Musoma


Itakua ulikua unakula kirembo Amekunyoosha
 
Acha ufala bob, ungemsema huyo uliyekula nae na si kujumuisha wanaume wote wa Musoma


Itakua ulikua unakula kirembo Amekunyoosha
Watu wanakula km ugomvi vile yaani hakuna kumeza anarudia nyingine asee
 
Umefanya study yako kwa kukutana na watu wa ngapi wa Mkoa wa Mara wanaokula vibaya

Nimeona pia mshamba_hachekwi naye anasema tupunguze uchafu, ina maana hatuogi wala kunyoosha nguo na unyunyu hatupigi

Kwa kweli, tungekuwa karibu leo tungemkata mtu mapanga muraaa 🤗

Anyways, sio watu wote wa huo Mkoa ni wakorofi, wanakula vibaya, hawajipendi

Siku nitatoa ofa kwa mtoa mada tukutane kwenye mgahawa maarufu hapa mjini ili aone sisi Wazee wa zamani vile tunakula kwa staha pamoja na kuwa na asili ya huo Mkoa

Gharama za chakula, vinywaji hadi nauli ya mafuta itakuwa juu yangu Mkuu
 
Kila mtu ale sahani yake ila tulivyo kuwa campus watu wa Kanda hizo walitegemea tule kwa sinia au dishi tukiwa maghetoni, ilikuwa ni big no kila mtu na sahani yake full stop.
 
Kwetu kula ugali siyo tatizo, shida kupikwe makande. mtu anajilamba then anakuja kuparua sehemu yako kwa juu. huu upimbi ulifanya niwe nakula kipanya panya, yaani nakula kwa kuchimba kitobo, pango au handaki kwa chini kuepuka udenda huko juu wafakamie wenyewe.
😂😂😂
 
Kuna dingi yangu mdogo ugali anadonoa juu
sasa km mboga ni ya mchuzi ni balaa

Siku moja nikamchana alinikata jicho kali
Nikaona isiwe kesi nikawa nachmba handaki tu!
 
Traditionally chakula huwa tunakula pamoja it means kwamba msosi unawekwa kati mnakula wote sasa watu wanakula vibaya sana yaani ukichukua nyama na yeye anachukua anatafuna vibaya then anarudia nyingine kama mashindano fulani ivi, aisee mjilekebishe ulaji wenu sio mzuri kama mnakimbizwa kupanua midomo hovyo .

Yaani mtu anajilambalamba then anaingiza mikono kwenye bakuli la mboga asee
Kusema kweli nilishindwa kula kbs, nyie mnaishi vipi na watu kama hawa ambao wanakula vibaya (bad eating manner)
Kinyaa sana.
 
Back
Top Bottom