Ngoja waje kukujibuTraditionally chakula huwa tunakula pamoja it means kwamba msosi unawekwa kati mnakula wote sasa watu wanakula vibaya sana yaani ukichukua nyama na yeye anachukua anatafuna vibaya then anarudia nyingine kama mashindano fulani ivi, aisee mjilekebishe ulaji wenu sio mzuri kama mnakimbizwa kupanua midomo hovyo .
Yaani mtu anajilambalamba then anaingiza mikono kwenye bakuli la mboga asee
Kusema kweli nilishindwa kula kbs, nyie mnaishi vipi na watu kama hawa ambao wanakula vibaya (bad eating manner)
Mimi wananiachaga hoi. Licha ya kusifwa kwa ubabe, maguvu na kufokafoka wamebaki kuuza mayai kitunda.Traditionally chakula huwa tunakula pamoja it means kwamba msosi unawekwa kati mnakula wote sasa watu wanakula vibaya sana yaani ukichukua nyama na yeye anachukua anatafuna vibaya then anarudia nyingine kama mashindano fulani ivi, aisee mjilekebishe ulaji wenu sio mzuri kama mnakimbizwa kupanua midomo hovyo .
Yaani mtu anajilambalamba then anaingiza mikono kwenye bakuli la mboga asee
Kusema kweli nilishindwa kula kbs, nyie mnaishi vipi na watu kama hawa ambao wanakula vibaya (bad eating manner)
Me naona ni sawa tu ule ugari wao mwekundu mtamu sanaTraditionally chakula huwa tunakula pamoja it means kwamba msosi unawekwa kati mnakula wote sasa watu wanakula vibaya sana yaani ukichukua nyama na yeye anachukua anatafuna vibaya then anarudia nyingine kama mashindano fulani ivi, aisee mjilekebishe ulaji wenu sio mzuri kama mnakimbizwa kupanua midomo hovyo .
Yaani mtu anajilambalamba then anaingiza mikono kwenye bakuli la mboga asee
Kusema kweli nilishindwa kula kbs, nyie mnaishi vipi na watu kama hawa ambao wanakula vibaya (bad eating manner)
Nini kinakushangaza hapo? Ulitaka wawe mabondia au wanajeshi?Mimi wananiachaga hoi. Licha ya kusifwa kwa ubabe, maguvu na kufokafoka wamebaki kuuza mayai kitunda.
Usisahau kwenda na kijiti chooni.Wivu tu acha tule ugali wetu wa mtama na nyama, karibu tena.
Mr. NyetoMleta mada hakupata nyama nyingi na kakasurika sana ndiyo maana amekuja kulalamika humu.
Haya KERATO MOMBAA njoo bhana.
Ile ni biashara kama biashara zingne, sisi si wadengereko wa kuuza vimnofu vya pweza..Mimi wananiachaga hoi. Licha ya kusifwa kwa ubabe, maguvu na kufokafoka wamebaki kuuza mayai kitunda.
Wanaume wamemuonesha vile ambavyo chakula (nyama ) huliwa. Nadhani akipata wasaa mwingine wa kula nao atachangamka.Mr. Nyeto
Huyu alikuwa na ujinga wake, alidhani kwamba ana akili kuwazidi wenyeji kumbe wameisha mumanya mapemaa, wakaamua kumfanyia makusudi
mr nyeto, huyo kama ni mwanaume inaonekana kuna kabinti alikatole macho halafu rada zikamnasa, sasa hyo ndo unaitwa "kula na wewe sahani moja" pale unapoleta ujinga.